encarta yangu 2009 ni 3gb ipo full sasa unaposema kwa email mnh 3gb nyingi kaka bora ungesema upo eneo gani wadau wa eneo hilo wangekusaidia
haha, nimeingia ndani ya hii thread basi tu nione anavyo expect kurushiwa encarta
hivi winrar kazi yake ni nini jaman
hivi winrar kazi yake ni nini jaman
ku extract files ambazo zimefungwa mfano:unapodownload files kwenye net kuna zngne zimeandikwa ZIP so kaz ya winrar ni kufungua files hizo
mi naweza kuicompress hadi kb 100 hivi na kgb but itai extract zaidi ya siku
dah! ngoja nitafute link nidownload ,THANKSNinayo ya zamani (2004) kwenye cd lakini ni kubwa mno wala huwezi kuattach!!!!!
mh! hapo sasa ndo pagumu nitaimudu kweli? thanks!mi naweza kuicompress hadi kb 100 hivi na kgb but itai extract zaidi ya siku