msaada wa e mail yangu ya hotmail

msaada wa e mail yangu ya hotmail

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
9,017
Reaction score
10,048
wakuu mambo niaje? nina e mail yangu ya hotmail... sasa kila ninapofungua inaniambia niingize code na sijui hiyo code naipata wapi msaada kwa mtu yoyote anaejua how to fix this....
 
huenda ulipojiandikisha kwa mara ya kwanza hukuifanyia activation
 
wakuu mambo niaje? nina e mail yangu ya hotmail... sasa kila ninapofungua inaniambia niingize code na sijui hiyo code naipata wapi msaada kwa mtu yoyote anaejua how to fix this....

Hata mimi nimepata hilo tatizo inaniambia someone might be using my email account. Kila saa wanataka niingize code halaf code yenyewe haitumwi kwenye namba yangu
 
Back
Top Bottom