Kwetu Iringa
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 355
- 88
Hodi wana JF!!
Nimenunua digital camera aina ya Sony Cybershot. Kwa bahati mbaya nilianza kuitumia kabla sija-set date. Sasa nashindwa kuseti date. Kumbe nilitakiwa kuseti date kabla sijaanza kuitumia. Kwa hiyo picha zinakuwa na wrong date.
Naomba msaada: Nifanyeje ili niweze kuseti date?? Tafadhali nisaidieni kwa wanaojua!!
Natanguliza shukrani