Msaada wa dharura kuokoa zali la mentali

Msaada wa dharura kuokoa zali la mentali

Status
Not open for further replies.
.....nimeanguka au nimeangukiwa.....mtoto wa watu ...... nimeangukiwa....! daaah, TANU 1954, CCM 1977!
 
Ulitumia condom au unajisifu jisufu tuu hapa kifala sifa za kijinga?

wakuu, nimeanguka au nimeangukiwa? Mtoto wa watu nimeangukiwa yaani siamini duniani kwa zamu.

Iko hivi, kuna maombi ya kazi nilituma kwenye kampuni moja kubwa iliyoko africa nzima na tanzania mikoa yote, sasa kwa hapa mjini kwangu kumbe meneja ni mwanadafwada, si akareply officially kabisa" kindly visit our office.

Mtoto wa kiume nilichonotice ni namba za simu tu, maana kwanza alijibu late.

So siku ya siku nikaanza mambo ya kuchat, ikanoga mpaka tukaanza phone sex, mtoto akapandisha mzuka si akaniita geto kwake usiku wa manane, ofcourse niliwahi kwenda siku moja kabla kwa mambo ya kiofisi, so huyooo na bodaboda hata sikuomba anipunguzie bei mzee nililamba vitu usiku kucha, nilimpa shughuli akawa tu ana triple orgasm, kulipokucha nikaandaliwa bonge ya chai ati naulizwa "bebi yai unataka omillete au..." ndo nikajua kumbe na mayai yana aina.

Kuna mzigo alikuwa ameagiza kutoka mkoa flani ila msafirishaji akawa anamsumbua kweli kuwa hela imepungua nikaona anahangaika kila anayempigia simu amrushie kwenye mpesa anadai hana, na yeye anasema ndani ana hela ya kula tu unless adrive kwenda benki, mtoto wa kiume nikawaza mwisho nikafumba macho nikampa 70,000 kwa m-pesa aliyokuwa anaitaka, hakuamini.

Anyway, jana ndo nimetoka na hadi leo kumekucha mapenzi yanaendelea, nachohitaji wakuu, nifanyeje zali la mentali hili lisiniponyoke? Anaboyfriend wake lakini hamzungumzii tunapokuwa wote yeye na boyfriend wake wote ni matajiri, full kubadilisha magari.

Hebu nipe mbinu ili nimantain hii relationship mpango wangu ni kumdunga mimba mwisho wa siku nichumbie ingawa ni mkubwa sana kiumri, je hii itazaa matunda? Niambie lolote unaloona liatnifikisha mahali.

Thanks.

P.s. Acheni kujudge...toa pendekezo, kama huna, pita kulia lol
 
Kweli ndo mnalala mika oooh ajira amna na usomi wako utazid kusugua sana bench kama utatafuta kaz mixer na mijimama huko huwez fanikiwa chagua moja kaz au uzinzi huo
 
Dharula = dharura

Zali
= zari

Ww utakuwa mwalimu wa kiswahili primary school, nowdays we advanced and then speak ki swagga na cio mambo yako ya kulekebishana kiswahili hapa, peleka nursery huko. Think internationally.
 
Ww utakuwa mwalimu wa kiswahili primary school, nowdays we advanced and then speak ki swagga na cio mambo yako ya kulekebishana kiswahili hapa, peleka nursery huko. Think internationally.

= kurekebishana.

Kiswahili ambacho ni lugha yako ya Taifa kinakushinda kuandika, utaweza kuandika Kiingereza? usituchafuwe roho.

Hizo si swaga ni ujinga tu.
 
Wakuu, nimeanguka au nimeangukiwa? mtoto wa watu nimeangukiwa yaani siamini duniani kwa zamu.

Iko hivi, kuna maombi ya kazi nilituma kwenye kampuni moja kubwa iliyoko Africa nzima na Tanzania mikoa yote, sasa kwa hapa mjini kwangu kumbe meneja ni mwanadafwada, si akareply officially kabisa" Kindly visit our office.

Mtoto wa kiume nilichonotice ni namba za simu tu, maana kwanza alijibu late.

So siku ya siku nikaanza mambo ya kuchat, ikanoga mpaka tukaanza Phone sex, mtoto akapandisha mzuka si akaniita geto kwake usiku wa manane, ofcourse niliwahi kwenda siku moja kabla kwa mambo ya kiofisi, so huyooo na bodaboda hata sikuomba anipunguzie bei mzee nililamba vitu usiku kucha, nilimpa shughuli akawa tu ana triple orgasm, kulipokucha nikaandaliwa bonge ya chai ati naulizwa "bebi yai unataka Omillete au..." ndo nikajua kumbe na mayai yana aina.

Kuna mzigo alikuwa ameagiza kutoka mkoa flani ila msafirishaji akawa anamsumbua kweli kuwa hela imepungua nikaona anahangaika kila anayempigia simu amrushie kwenye Mpesa anadai hana, na yeye anasema ndani ana hela ya kula tu unless adrive kwenda benki, mtoto wa kiume nikawaza mwisho nikafumba macho nikampa 70,000 kwa M-pesa aliyokuwa anaitaka, hakuamini.

Anyway, jana ndo nimetoka na hadi leo kumekucha mapenzi yanaendelea, nachohitaji wakuu, nifanyeje zali la mentali hili lisiniponyoke? anaboyfriend wake lakini hamzungumzii tunapokuwa wote yeye na boyfriend wake wote ni matajiri, full kubadilisha magari.

Hebu nipe mbinu ili nimantain hii relationship mpango wangu ni kumdunga mimba mwisho wa siku nichumbie ingawa ni mkubwa sana kiumri, je hii itazaa matunda? niambie lolote unaloona liatnifikisha mahali.

Thanks.

P.S. acheni kujudge...toa pendekezo, kama huna, pita kulia lol
When the car is considered utajiri...
 
= kurekebishana.

Kiswahili ambacho ni lugha yako ya Taifa kinakushinda kuandika, utaweza kuandika Kiingereza? usituchafuwe roho.

Hizo si swaga ni ujinga tu.
my teacher taught me in english language as 4rm primary up to higher level, and i do all my interview+presentation in english, ididn't got u when u mean swahili is ma great language but the big problem is to u lugha ya malkia inakupga chenga thus unafundisha kiswahili, u seems to be more local+primitive. Vuka boda km utakuwa unaongea kiswahili km unavocctza hapa, nowdays we speak international language(english). Change is now.
 
Huyo Mwalimu wako kakujaza ujinga, hicho ulichoandika ndiyo mwenyewe umeona umeandika Kiingereza cha maana sana?

Naam, wewe umenihakikishia kuwa shule ulienda kusomea ujinga. Pole sana.
 
Huyo Mwalimu wako kakujaza ujinga, hicho ulichoandika ndiyo mwenyewe umeona umeandika Kiingereza cha maana sana?

Naam, wewe umenihakikishia kuwa shule ulienda kusomea ujinga. Pole sana.

Pole ww unaekomaa na kiswahili wakati ukivuka boarder e.g south Afrika not applicable, but u seems to be mwalimu wa kiswahili tena shule ya kata.
 
Pole ww unaekomaa na kiswahili wakati ukivuka boarder e.g south Afrika not applicable, but u seems to be mwalimu wa kiswahili tena shule ya kata.

Unazidi kujiaibisha, Kiingereza hukijuwi unababia tu.

Kiswahili hujuwi kukiandika ipaswavyo utajuwa Kingereza? unanchekesha.
 
Unazidi kujiaibisha, Kiingereza hukijuwi unababia tu.

Kiswahili hujuwi kukiandika ipaswavyo utajuwa Kingereza? unanchekesha.

I know english well+ i speak fluently as my native language compared to u, u can't even formulate a single sentence in english.
 
I know english well+ i speak fluently as my native language compared to u, u can't even formulate a single sentence in english.

= English
= I

Hata sikuelewi umeandika nini, nitafsirie.
 
Imeishia wp kwenye zari amavfharula imeme ulikwa u
 
Huwezi elewa english, ww unaelewa kiswahili+kimakonde. English tuachie sisi.

Naona umeanza kufata mafundisho yangu japo kiduchu. Lakini bado inabidi ujitahidi sana, uko finyu sana.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom