Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Wakuu, nimeanguka au nimeangukiwa? mtoto wa watu nimeangukiwa yaani siamini duniani kwa zamu.
Iko hivi, kuna maombi ya kazi nilituma kwenye kampuni moja kubwa iliyoko Africa nzima na Tanzania mikoa yote, sasa kwa hapa mjini kwangu kumbe meneja ni mwanadafwada, si akareply officially kabisa" Kindly visit our office.
Mtoto wa kiume nilichonotice ni namba za simu tu, maana kwanza alijibu late.
So siku ya siku nikaanza mambo ya kuchat, ikanoga mpaka tukaanza Phone sex, mtoto akapandisha mzuka si akaniita geto kwake usiku wa manane, ofcourse niliwahi kwenda siku moja kabla kwa mambo ya kiofisi, so huyooo na bodaboda hata sikuomba anipunguzie bei mzee nililamba vitu usiku kucha, nilimpa shughuli akawa tu ana triple orgasm, kulipokucha nikaandaliwa bonge ya chai ati naulizwa "bebi yai unataka Omillete au..." ndo nikajua kumbe na mayai yana aina.
Kuna mzigo alikuwa ameagiza kutoka mkoa flani ila msafirishaji akawa anamsumbua kweli kuwa hela imepungua nikaona anahangaika kila anayempigia simu amrushie kwenye Mpesa anadai hana, na yeye anasema ndani ana hela ya kula tu unless adrive kwenda benki, mtoto wa kiume nikawaza mwisho nikafumba macho nikampa 70,000 kwa M-pesa aliyokuwa anaitaka, hakuamini.
Anyway, jana ndo nimetoka na hadi leo kumekucha mapenzi yanaendelea, nachohitaji wakuu, nifanyeje zali la mentali hili lisiniponyoke? anaboyfriend wake lakini hamzungumzii tunapokuwa wote yeye na boyfriend wake wote ni matajiri, full kubadilisha magari.
Hebu nipe mbinu ili nimantain hii relationship mpango wangu ni kumdunga mimba mwisho wa siku nichumbie ingawa ni mkubwa sana kiumri, je hii itazaa matunda? niambie lolote unaloona liatnifikisha mahali.
Thanks.
P.S. acheni kujudge...toa pendekezo, kama huna, pita kulia lol