MILES27
New Member
- Jan 17, 2022
- 4
- 0
Nimemaliza form four na nimepata 2 katika masomo yote nimepata c kasoro math ndio nimepata f upande wa art lakini
Nilikua naomba msaada wenu kuhus course GAni nzuri ambayo naweza soma upande wa MASWALA ya bandari hata kama ni diploma ipi ni nzuri
Pia huwa Nina interest katika IT napo pia naomba mawazo yenu kulingana na matokeo nilivyotaja hapo juu
🙏