Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania

Wazungu wenyewe watoto zao wanalala na njaa kali sana huko Marekani na Ulaya. Karibia watoto milioni kumi wanalala na njaa. Kwanini wasimalize hizo shida kwao kama sio kuja kutafuta Airtime?

Itoshe watoto huko wanakula Cornflakes kavu na maji.

Watoto wanakufa na Saratani kila siku huko na imeongezeka maradufu kwa kula vyakula vilivyowekewa virutubishi.

Hawa watoto watakaokula mchele huo, wanajiongezea sababu tu watoto zao waje kuwa kama hivyo tu, na ongezeko la saratani.
Very true. Nimeenda California. Kwa package ya Rice Crispies ikienda kuuza california inasema, "may cause cancer" California has one of the strickest food safety laws. Fortified food products including thiose made with bleached rice and additional fortification, can contain chemical compounds that are associated with carcinogenic risk. unaweza patikana na kansa.
 
Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..

Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje , kwanini kiletwe toka marekani?

Kwanini hawaja taka kuja kununua Tanzania ambapo kuna mchele kibao, hadi wautoe marekani?

Unaweza kuta jumla ya fedha zilizo tumika ni sawa na kujenga barabara toka dar hadi mlanzi, au kujenga hospitali 5 kama za benjamini mkapa.dodoma. kwanini wasilete fedha kusaidia maendeleo.

Siku moja niliwasikia wajeda wa JWTZ wanazungumza huko dodoma kwenye mashamba yao wakisema wanashiriki shughli za kilimo kwa sababu ni sehemu ya ulinzi na usalama wa nchi, mnaweza poteza nchi kwa kutumia chakula..

Pia nahisi kwamba marekani inaitangazia dunia kwamba Tanzania tuna afya mgogoro na njaa kama somalia au sudani wakati mahindi na michele i aozea shambani huko kilombero.. hapa nimemkumbuka Magufuli, asinge kubali haya mambo.

Tanzania sio maskini n wala hatuna njaa, tunauwezo wa kutoa msaada wa chakula hata marekani.. RIP Magufuli..

Tunaomba waziri bashe aje ajibie swala hili, imekuaje wapokee mchele huo, kwanini wasingeleta fedha hata kama wanasema kuna virutubisho.

Taifa salama ni lile linalo jitisheleza kwa chakula.

View attachment 2935710
TBS kwa kushirikiana Wizara afya wa confirm tu kwamba mzigo upo salama kiafya, upelekwe palipo dhamiriwa. Tusilete Mambo ya siasa huku hatujiwezi. Huko Vijijini wakuu wa shule na wazazi wanavutana kila siku juu ya kuchangishana mahindi kwa ajili chakula cha mchana Cha watoto wakiwa shuleni. Kama tunajiweza tuache kuchangishana kiduwanzi, sekerikali iweke bajeti kwa shule zote watoto washibe.
 
Mzigo umesha anza kugawiwa kwa watoto wa wagogo huko dodoma.. ccm inatafuta kura.. 2025 wataahidi tena kuwetea mchele wa lishe toka USA.
 
Uzi mzuri ila umeuharibu kumtaja JP, wewe umejuaje kma angekuwepo angekubali au asingekubali?
Tunajua angekuwepo asingekubali kwa sababu alikataa msaada wa madawa ya fumigation, madawa ya wadudu, sembuse chakula cha binadamu.

Magufuli alikuwa principled in penury, masikini jeuri. Alisema msining'inize vichwa, tembeeni kifua mbele. Push back against the permanent state of begging and groveling. Tujiheshimishe wenyewe, tulime chakula chetu.

Pombe Magufuli anabiringika kaburini. There is no way in hell Pombe angekubali kulishwa mchele, tena mchele ulioongezwa virutubisho visivyojulikana.
 
Mzigo umesha anza kugawiwa kwa watoto wa wagogo huko dodoma.. ccm inatafuta kura.. 2025 wataahidi tena kuwetea mchele wa lishe toka USA.
Wapenda chips kuku wanapata ofa kwa siku moja then wanawajibika maisha yao yote kulea kwa maumivu.
Nan alikwambia kuna bure dunian
 
Ndipo tulipofikia.....kama kupanga tu familia ni Kwa udhamini wao kwa nini wasitupige na kwenye maakuli?...Kwa ufupi sana idadi ya watu weusi inawekwa kwenye target za watu wachache wadiozidi watatu
 
Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..

Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje , kwanini kiletwe toka marekani?

Kwanini hawaja taka kuja kununua Tanzania ambapo kuna mchele kibao, hadi wautoe marekani?

Unaweza kuta jumla ya fedha zilizo tumika ni sawa na kujenga barabara toka dar hadi mlanzi, au kujenga hospitali 5 kama za benjamini mkapa.dodoma. kwanini wasilete fedha kusaidia maendeleo.

Siku moja niliwasikia wajeda wa JWTZ wanazungumza huko dodoma kwenye mashamba yao wakisema wanashiriki shughli za kilimo kwa sababu ni sehemu ya ulinzi na usalama wa nchi, mnaweza poteza nchi kwa kutumia chakula..

Pia nahisi kwamba marekani inaitangazia dunia kwamba Tanzania tuna afya mgogoro na njaa kama somalia au sudani wakati mahindi na michele i aozea shambani huko kilombero.. hapa nimemkumbuka Magufuli, asinge kubali haya mambo.

Tanzania sio maskini n wala hatuna njaa, tunauwezo wa kutoa msaada wa chakula hata marekani.. RIP Magufuli..

Tunaomba waziri bashe aje ajibie swala hili, imekuaje wapokee mchele huo, kwanini wasingeleta fedha hata kama wanasema kuna virutubisho.

Taifa salama ni lile linalo jitisheleza kwa chakula.

View attachment 2935710
Ukombozi wa Tanzania upo Mikononi mwa Watanzania wenyewe.
Ukombozi wa African upo Mikononi mwa waafrika Wenyewe.
"Ee Mungu tusaidie kufungua frikra zetu tuondokane na uvivu wa kufikiri na utupatie moyo wa kizalendo kwa kufanya kazi kwa bidii pasipo kunufaisha matumbo yetu iwe kwaajili ya ustawi wa vizazi vyetu vya baadae wapate kuishi Tanzania iliyo Salama" Amina.
 
TBS ni chama gani hiki....

TBS hawana hawa wanao ruhusu mafuta yanatupa upele, vipodozi vya kuhaeibu ngozi, au kuna TBS Nyingine
20240318_072934.jpg
 
Sisi tunapenda sana kila jambo kulipeleka peleka kisiasa, ikifika nyakati za uchaguzi, anatamani vihela vya wakoloni weusi anageuka kuwa chawa, ikipita uchaguzi anaaza kupwapwaja tena.
 
Tatizo ni msaada kutoka Marekani ila msaada wa tende and nyama ya ngamia kutoka Uarabuni hauna shida. Watu wamejazwa chuki dhidi ya Marekani bila kuwa na reasoning.
 
Mmmmmh! Mchele tena?

Sitaki kuamin kama ni mchele kwel
Umesikia umeongezwa virurubisho maana ya Ni GM - genetically modified...
Madhara ya kula vyakula vya GM, hata wao USA bado wanabishana sana Na hakuna consensus huko kwao, sisi huku ndio litmus test yao... tukidunda tu nao pia watauchangamkia...huko Kenya walipewa mahindi ya virutubidho, mzee odinga akapiga kelele sana hadi wakaacha... hapa kwetu bado tupo fofofo...
 
USA kuna homelss mpak wanatengwa wtau wanalala njaa ,wapeleke huko.

Hizi NGO'S hapa bongo ndio zina njaa ili wapate pesa ,hizo hizo ndio njia za kuleta ushoga maana hawajielewi
 
Back
Top Bottom