Msaada wa Bluetooth kwenye Laptop

Mtingaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
1,223
Reaction score
367
Naombeni msaada wa kurudishia Bluetooth kwenye Laptop yangu inayotumia Window 7, bit 32.

Laptop yangu ilikuwa na tatizo la ku-link kati ya Moderm na internet, yaani ilikuwa nikichomeka moderm, ina funguka vizuri na nina connect kama kawaida, ila ilikuwa nikifungua window ili ifungue internet ilikuwa inaikosa moderm!

Baada ya kuwapelekea wataalamu wa computer, walirekebisha tatizo hilo lakini wakaondoa software ya bluetooth. Naombeni msaada wadau nifanyeje ili irudi ?
 
Nenda website ya laptop yako tafuta aina ya laptop yako kwenye driver utaikuta. au njia rahisi google jina na aina ya laptop then kwa mbele andika bluetooth driver

mf
lenovo g575 bluetooth driver
 
Okay, ngoja niende huko Toshiba nikacheck nao Mkuu chief-mkwawa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…