Msaada wa Audio device | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa Audio device

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Dio, Mar 29, 2011.

 1. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mambo vp wakubwa nina loptop audio imepotea naomba msaada wakubwa.
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ipeleke kwa babu..na kama unataka wana jf wakusaidie weka aina ya laptop na os unayotumia..
   
 3. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  teh teh mkubwa utani mwingne.poa
  laptop ni Dell D620 nimeweka window xp 2010
   
 4. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Nenda filehippo.com sehemu ya driver
  Au download hii http://filehippo.com/software/drivers/
   
 5. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  poa mkubwa ngoja nifanye hvyo alafu nitarudi kuleta riport.
   
 6. Venant Ben

  Venant Ben Senior Member

  #6
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  in my opinion unaweza ku update driver za sauti tu then tatizo likaisha,fuata utaratibu huu
  Go to my computer>then right click>chagua properties>ikisha funguka,angalia upande wa kushoto juu then select device manager,itafunguka listi ya device zote zilizopo ktk computer yako,then angalia audio device select then right click alafu select update, (mara nyingi drivers zinazokuwa out to date huwa zinakuwa na alama,e.g alama ya mshangao ya njano)

  au pia waweza fuata mpangilio huu kama hujaelewa hapo juu

   • 1 Click "Start" and "Control Panel." Then double-click "Administrative Tools" and "Computer Management."

   • 2 Choose "Device Manager" in the field on the left-hand side of the screen.

   • 3 Look for "Sound, video and game controllers." Click the plus sign (+) next to that field. This will expand a list of devices under sound, video and game controllers, which will include your sound card.

   • 4 Right click on your audio driver in the list and select "Update Driver."

   • 5 Follow the instructions and Windows will automatically search for and install any driver updates.


  >>huo ni ushauri wangu mimi,pia nilikuwa nakushauri ili kuepukana na karaha za namna hiyo ungetafuta program inaitwa DRIVER GENIUS,itakusaidia kufanya back up ya drivers zako na kuzihifadhi sehemu yoyote may be ktk flash disk ili linapotokea tatizo tena la drivers utaweza kuinstall bila matatizo yoyote.
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  I
  mambo ya drivers 1st stop inatakiwa kuwa website ya manufacturer wa latop yako. Kwa case yako nenda hapa Drivers & Downloads

  Nimeona zipo hapo
  II
  kama zingekuwa hazipo stop ya pili ni website ya manufaturer wa drive yenyewe
  kwa case yako ungeenda sigamtel

  III
  Na stop ya mwisho ndo website kama filehipo na Cnet.
   
 8. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Asanten wakubwa kwa ushauri wenu ngoja niufanyie kazi.
  Mbarikiwe
   
Loading...