Msaada wa anuani hizi mwenye kujua

heartbeats

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
5,757
8,699
Habari wakuu,

Naomba msaada wa mwenye kujua anuani na eneo ambalo ndio ofisi yake ilipo

1. Katibu Tawala Dar es salaam

2. Afisa Elimu Sekondari Dar es salaam

Nataka uamisho wa shule sasa hizo anuani ni za muhimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom