Internship request

VMWare-Oracle

JF-Expert Member
Dec 19, 2021
663
910
Habari!

Mimi ni mwanafunzi wa Ordinary Diploma In Electrical Engineering, NTA Level 5 ( second year ). Taasisi: Dar es salaam Institute of Technology.

Nina maombi ya kujitolea kufanya kazi katika taasisi, kiwanda, ofisi au karakana yoyote inayohusiana na shughuli za umeme, mpaka mnamo tarehe 5 april 2024 ambapo itakuwa kikomo kwa sababu za kufungua chuo kuendelea na masomo ya semester ya II.

Uzoefu
1. Distribution transformer assembling and testing.
2. Primary practical idea on induction motors rewinding(especially squirrle cage IM)
3. Domestic Electrical installation (from first stage of conduits fittings, and onwards)
4. Building of LV distribution lines and substations installation.

NB: Nimejaribu kupeleka maombi katika taasisi mbalimbali kwa njia ya email na kwenda ofisini moja kwa moja. Juma zima linakwenda kuisha sijapata mirejesho yeyote. Hii inapelekea mimi kuja hapa jukwaani, nikiamini hapa kuna watu wenye nyadhfa tofauti tofauti na mengineyo, hivyo nikapata msaada.

Anuani: Dar es salaam
Mawasiliano: 0744 74 61 15
 
Angalia ubunifu wa kutafuta kazi

1708689163279.png

1708689200894.png

1708689299378.png

1708689335508.png

1708689355780.png
 
Nakushauri ili uweze pata uzowefu mzuri

Na kujua changamoto site omba kazi wa wakandarasi wanafanya kazi za rea utajifunza mengi huko
Nilishafanya 16/2/2022 hadi 28/08/2022 mradi wa MWANZA REA PERI-URBAN PROJECT, 200km LV, 66km HV na substations 70+, sehemu za nyamadoke, kaguha, ikigijo, iwelyashinga, nyamwana,ntende, igwambiti A na C, shibula, sahwa juu na chini n.k
NB:Jina la mkandarasi kapuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom