Field wanafunzi wa certificate clearing and forwarding.

ismail hassan

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
685
1,612
Habari za wakati huu wakuu, naomba mwenye kampuni yeyote ya clearing and forwarding au anayeweza kunipa connection ya wanafunzi zaidi ya 10 kupata field ndani ya dar es salaam ani PM.


Weka bei yako kila mwanafunzi mmoja akipokelewa nikupe kiasi gani wanafunzi wapo wengi.

Note: Kipindi cha field ni miezi mitatu wanafunzi watakaa, na vitu muhimu ambavyo wanatakiwa kujifunza ni declaration, operation and documentation.

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom