Gwankaja Gwakilingo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 1,996
- 618
Wakuu naomba msimjibu huyu jamaa.
We bwana umeandika jambo la maana sana nakuunga mkono.....mjinga kabisa huyo
Wakuu naomba msimjibu huyu jamaa.
Najua hili sio jukwaa la siasa wala MMU so ntakupa ulichouliza mkuu.
Kuhusu simu nunua smartphone ya kawaida tu kama tecno, Huawei au Samsung ya bei ya kawaida tu kama laki mbili au laki na nusu etc. Kama utaweza ifanyie rooting ili upate uwezo wa kuchunguza mambo mengi km whatsapp, viber etc
Then kuhusu software ingia www.mobitrackapps.com hapo utadownload hiyo application then install kwenye simu ya muhusika(demu), utaingiza email yako na password, then utaificha ili asiione kwa kuweka tiki sehem ya hide
Pia una iondolea uwezo wa kua uninstalled kwa kuweka tiki.
Nadhani fanya hivyo na mengine utasoma kwenye hyo website. Kama utakwama nitafute
NB: hiyo app ni ya bure hadi kufa kwako/ free app
mi japo situmiagi simu yakupewa na mwanaume yeyote. ila nkilazimika akiiletaa
kabla sijaweka simcard na " backup all system setting" then na reset all system setting. kwani mawasiliano ni personal issue mtu akupe siri zake kwakuelewana bwana aala. mwanamke epuka sana kutumia assert ulizopewa na mwanaume kama simu,kitanda,fridge,tv , kabati, hata kama anakupa hela inunulue chakula,nguo,lipa kodi kama huna nyumba ,na vingine vya aina hiyo hela yako sasa unayotafuta ndo uweke assert zako. ukweli ni kwamba vitu vya mwanaume utaviona vichungu mkiachana. kama ni mme wako officially haina shida ila kama ni boyfriend,sogea tukae ubwete utakucost penda usipende!