Msaada: Vyuo vya medical officer

Msaada: Vyuo vya medical officer

tare

Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
96
Reaction score
39
jaman wadau nimeapply kupitia tcu round3 zijafanikiwa hata moja naona nichange ndoto nkasome medical officer naomba msaada n vyuo gan vina hiyo course nkaombe make deadline n trh23
 
Haki ya MUNGU we dogo; Medical Officer ni cheo cha daktari mwenye degree yaani {DOCTOR OF MEDICINE (MD)}. Sasa sijui ulikuwa unamaanisha nini?
 
Labda alitaka kusema " AMO" assistant medical officer
 
Hata hivyo; AMO ni advanced diploma ya clinical medicine. Lazima uwe na diploma ya Clinical Medicine (Clinical Officer). Then unapata qualifications za kwenda kusoma Advanced Diploma ili uwe AMO.
Huyo dogo aje atueleleze alikuwa anataka nini hasa.
 
me nataka hyo AMO so naeza nkasoma nn ili nifikie hcho cheo
 
nimewaelewa wakuu me nilifikir medical officer n course unaisoma make kuna jamaa alinambia hvo so nilikuwa sijaelewa but nmewaelewa kwa maelezo yenu
 
me nataka hyo AMO so naeza nkasoma nn ili nifikie hcho cheo

Kasome Diploma ya Clinical Medicine (3yrs) ukimaliza ndiyo unaenda kusoma tena Advanced Diploma ya Clinical Medicine (AMO for 1 yr)
 
Mbona nasikia hiyo AMO imefutwa? Ufafanuzi mkuu!
 
Haki ya MUNGU we dogo; Medical Officer ni cheo cha daktari mwenye degree yaani {DOCTOR OF MEDICINE (MD)}. Sasa sijui ulikuwa unamaanisha nini?
vipo vyuo kibao ndugu yangu tumia internet vizur. we google vyuo vinavyotoa diploma coz ya afya utaona vingi tuu tena kama ulipiga vizur o level na uhakika una pata vya serikali vya bei ndogo kama unapenda. mungu akubariki. ila mkuu hapa kanichekesha sana. hongera sasa naona umeelewa. AMO iyo ini higher/advanced diploma so lazma uwe na ordinary diploma mfano clinical officer. inatolewa tanga pia muhimbili na baadhi ya vyuo inatolewa sema iyo lvel naskia itatolewa soon coz haitambuliki internationally me mama yangu ni nurse huwa ananipa info. vp mzee ulipiga gpa ya ngap? na kombi gan. mwenzio nimeacha hayo mambo ya afya sasa niko computer science software engineering rucu.
 
Mbona nasikia hiyo AMO imefutwa? Ufafanuzi mkuu!
Kuna maelekezo hayo ya kuifuta lakini sidhani kama utekelezaji wake umeanza. Though nachofahamu kumeshaanzishwa kozi iitwayo Bachelor in Clinical Medicine ambayo itakuwa mbadala wa AMO.
 
vipo vyuo kibao ndugu yangu tumia internet vizur. we google vyuo vinavyotoa diploma coz ya afya utaona vingi tuu tena kama ulipiga vizur o level na uhakika una pata vya serikali vya bei ndogo kama unapenda. mungu akubariki. ila mkuu hapa kanichekesha sana. hongera sasa naona umeelewa. AMO iyo ini higher/advanced diploma so lazma uwe na ordinary diploma mfano clinical officer. inatolewa tanga pia muhimbili na baadhi ya vyuo inatolewa sema iyo lvel naskia itatolewa soon coz haitambuliki internationally me mama yangu ni nurse huwa ananipa info. vp mzee ulipiga gpa ya ngap? na kombi gan. mwenzio nimeacha hayo mambo ya afya sasa niko computer science software engineering rucu.

hv hyo nec inalipa hasa diplma koz natak niombe baada ya kukosa tcu,msaada plz
 
kuhusu mishahara sifahamu ila nasikia ni laki 6 hivi.
but mimi nafanya mpango nipate transfer niende clinical medicine

oh me nimepata nursing tukuyu nataka nixome co but cjui transfer ikoje
 
hv hyo nec inalipa hasa diplma koz natak niombe baada ya kukosa tcu,msaada plz

iko poa unakula kama laki 7 na ushee ivi. ila naona poa upige clinical medicine ili iwe rahis kwenda MD kama wataka uwe dokta. vp my ulipiga ngap? vyuo gan vilizingu?
MM PIa nilimaliza six nko computer scienc
 
Back
Top Bottom