Msaada vodacom internet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada vodacom internet

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by IrDA, Oct 13, 2012.

 1. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Jamani naombeni mnisaidie ni wiki ya pili sasa sipati internet nikitumia line ya voda...
  Tatizo lenyewe ni kwamba nikichomeka modem,inaconnect vizuri tu lakini nikijaribu kufungua website yoyote inagoma.Tatizo hili silipati nikitumia mitandao mingine.

  Nimejaribu kuwapigia customer care wananiambia niangalie settings kwenye
  computer yangu(lakini hawaniambii exactly settings nnazotakiwa kuangalia).

  Nimejaribu kwenye computer nyingine na kwa kutumia modem na laini nyingine ya voda bila mafanikio,naombeni mnisadie tafadhali nimekwama,niko maeneo ya kimara na 3G signals zinakamata vizuri kwenye dashboard..

  Asante kwa msaada wenu,nimesolve tatizo kwa kurenew line...Shukrani sana


   
 2. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu mwenyewe nilikuwa na tatizo hili na nilienda Voda shop waka hawajui nini.nilipo renew line ishu ilikubali jaribu hivo kama tatizo halionekani
   
 3. Tanzania Mpya

  Tanzania Mpya JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Unatumia windows gani? Je, unafikia hatua ya ku connect modem na unaconect ww au inaconnect automatically?
   
Loading...