Unataka kushika channels za free au za malipo? Kama ni za free zinafanya Ila kama ni za kulipa inawezekana zisifanyeWanabodi nimetembelea kwenye mitandao inayouza vingamuzi vya (FTA) Free To Air je vingamuzi hivi vinaweza kutumika hapa Tanzania?
Na ikiwa vinaweza vikatumika je nahitaji dish la aina gani?
Nitashukuru kwa ushauri toka kwenu.
kwa theory ndio zinaweza kushika ila mwelekeo mmoja unaweza ukakupa pengine chanell 60 tu, hivyo piga hesabu hapo utahitaji madishi mangapi ili upate hizo chanell 10,000 na pia eneo la kuyaweka hayo madish.Kushika za free naona receiver zingine zinaonyesha zinashika 10,000 channels
Umejibu vizuri sana hiyo kitu labda ununue mlima ujaze madishi in different directionskwa theory ndio zinaweza kushika ila mwelekeo mmoja unaweza ukakupa pengine chanell 60 tu, hivyo piga hesabu hapo utahitaji madishi mangapi ili upate hizo chanell 10,000 na pia eneo la kuyaweka hayo madish.
na pia kabla ya kuagiza online angalia bei za hapa kwanza, nyingi hazina utofauti wa bei huko na hapa.
Hapana kinachotakiwa zaidi ni zle RNB ndio zinatakiwa kias flan na sio dish mkuuUmejibu vizuri sana hiyo kitu labda ununue mlima ujaze madishi in different directions
unaziweka ngapi dish moja? na kila moja chanell ngapi? na uelekeo ni upi?Hapana kinachotakiwa zaidi ni zle RNB ndio zinatakiwa kias flan na sio dish mkuu
Asante kwa angalizo Mkuukwa theory ndio zinaweza kushika ila mwelekeo mmoja unaweza ukakupa pengine chanell 60 tu, hivyo piga hesabu hapo utahitaji madishi mangapi ili upate hizo chanell 10,000 na pia eneo la kuyaweka hayo madish.
na pia kabla ya kuagiza online angalia bei za hapa kwanza, nyingi hazina utofauti wa bei huko na hapa.
Ha ha mi tv siangalii kabisa..watu wanapambana wingi wa channelChanel 10000 za nn maana hata 60 nyingi mna. Mi kwangu nina chanel 20 ila huwa naangalia mbili tu. Tena mda wa taarif tu. Wa tz hatufanyi kazi aisee. Yaan channel elf 10 unaangalia zote
Inategemia,,hata tatu
aisee,ndo umejibu leo, ila subiri wajeKwaajili ya biashara Mkuu si vinginevyo
Ya mfumo wa mpg 2 au mpg 4 bei tsh ngapi? Uko dar na mikoani inapatikanaje?NAUZA RECEIVER MOJA YA SAN SAN
CHSNNEL KARIBIA 80 BUREEEEE
ZA TZ ZIPO ZOTE,WASAFI TV NA ZA NCHI MOVIE N.K
ELFU 70
UKITAKA NJOO PM
Soka vp?NAUZA RECEIVER MOJA YA SAN SAN
CHSNNEL KARIBIA 80 BUREEEEE
ZA TZ ZIPO ZOTE,WASAFI TV NA ZA NCHI MOVIE N.K
ELFU 70
UKITAKA NJOO PM