Msaada: Ving'amuzi vinavyoonyesha UEFA

Msaada: Ving'amuzi vinavyoonyesha UEFA

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,702
Reaction score
6,515
Habari wadau!

Nauliza kwa anayejua ni king'amuzi gani kina channels ambazo zinaonyesha UEFA champions league na kinafanya kazi kwa huku mkoani Geita. (Exclude Dstv and star times)
 
agape package

Yeah kaka. Nunu TING HD vifurushi vyao ni cheap pia na wanaonyesha UEFA kupitia ATN channel bei yao ni cheap (tsh 8,000 kwa mwezi) ukilinganisha na ving'amuzi vingine kama vile
startimes (tsh 10,000),
zuku (tsh 16,000),
dstv (tsh 16,500)
Azam tv (tsh 12,500)
 
Habari wadau!

Nauliza kwa anayejua ni king'amuzi gani kina channels ambazo zinaonyesha uefa champions league na kinafanya kazi kwa huku mkoani geita.(exclude Dstv and star times)

kama kweli shida yako ni uefa cl, uropa,epl laliga nk usitafute decoder ya kulipia. ununua decoda ya fta ambayo pa1 na mambo mengine unaweza ona ligi zote nilizotaja hapo juu. ununua strong srt 4922. kwa vile unaishi geita unaweza kunialiks w/end nije kikufungie ule raha.nami pia kwa sasa naishi bukombe-geita.
 
Yeah kaka. Nunu TING HD vifurushi vyao ni cheap pia na wanaonyesha UEFA kupitia ATN channel bei yao ni cheap (tsh 8,000 kwa mwezi) ukilinganisha na ving'amuzi vingine kama vile
startimes (tsh 10,000),
zuku (tsh 16,000),
dstv (tsh 16,500)
Azam tv (tsh 12,500)

mkuu king'amuzi cha TING kinauzwa shiling ngapi na wapi kinapatikana
 
Guys mmi nimenunua TING HD pale Kibo Tegeta kwenye supermarket ya TSN mwez December 2013.
Niliponunua waliniambia ntakua nalipia TZS 8000 kwa mwezi kuanzia January mwaka huu; so kwa mwezi December ni kweli nilienjoy EPL matches ingawa sio zote pamoja shows nyingine kwenye TV channels nyingine.
Lakini kilichotokea ilipofika January 2014 channel zote zilifungwa nikabakiwa na ITV, Startv, na TBC. Kuna katangazo kanapita likisema nikitaka kupata ful access ya hizo channel nyingine inabidi nikalipie vifurushi kuanzia TZS 16,000 {cha 8000 hakipo}
Sasa naombeni mnisaidie kama nilichokinunua ni kitu tofauti au sawa na vya kwenu?
Mbona vifurushi vyake ni gharama zaidi kuliko Ving'amuz vingine? {Tofauti na tunavyotangaziwa}
Na je ni kwreli EATV, Clouds, Na ATN are not free channels?
 
TING wanajieleza kuwa coverage yao ni dar,arusha,mwanza,morogoro na mbeya.Mimi niko geita
 
kama kweli shida yako ni uefa cl, uropa,epl laliga nk usitafute decoder ya kulipia. ununua decoda ya fta ambayo pa1 na mambo mengine unaweza ona ligi zote nilizotaja hapo juu. ununua strong srt 4922. kwa vile unaishi geita unaweza kunialiks w/end nije kikufungie ule raha.nami pia kwa sasa naishi bukombe-geita.

mkuu gharama zikoje hapo kwenye fta srt 4922
 
Nsee:
mimi nimewauliza TING wakaniambia, unachagua kifurushi kimojawapo unachohitaji kulingana na idadi ya channels.
dar,arusha,mbeya,dodoma na mwanza wana vifurushi viwili ila mikoa mingine wana regular package tu (8000)
 
mkuu king'amuzi cha TING kinauzwa shiling ngapi na wapi kinapatikana

TING HD ni 110,000, kama upo dar inategemea unaishi wapi maana kuna mawakala sehemu tofauti.
head office ni mbezibeach jogoo ilipo studio ya ATN
 
Kwa mikoani kuna mawakala wa TING, ila kwa urahisi pitia page yao facebook na utafute posts zinazoonesha namba za simu za mawakala wa mikoani.
PIA kwa baadhi ya mikoa ni lazima utumie dish la TING, hutatumia antena
 
kama kweli shida yako ni uefa cl, uropa,epl laliga nk usitafute decoder ya kulipia. ununua decoda ya fta ambayo pa1 na mambo mengine unaweza ona ligi zote nilizotaja hapo juu. ununua strong srt 4922. kwa vile unaishi geita unaweza kunialiks w/end nije kikufungie ule raha.nami pia kwa sasa naishi bukombe-geita.

msikilize huyu.
 
Nsee:
mimi nimewauliza TING wakaniambia, unachagua kifurushi kimojawapo unachohitaji kulingana na idadi ya channels.
dar,arusha,mbeya,dodoma na mwanza wana vifurushi viwili ila mikoa mingine wana regular package tu (8000)

nisaidie contact zao kaka maana nimejaribu kuwacheck facebook sijafanikiwa
 
man dunga
TING Tanzania Integrated Network Group ( ndiyo jina la page )
 
Ulichonunua ni TING ILa naambiwa wamefanya mabadiliko kadhaa kuanzia January.
Guys mmi nimenunua TING HD pale Kibo Tegeta kwenye supermarket ya TSN mwez December 2013.
Niliponunua waliniambia ntakua nalipia TZS 8000 kwa mwezi kuanzia January mwaka huu; so kwa mwezi December ni kweli nilienjoy EPL matches ingawa sio zote pamoja shows nyingine kwenye TV channels nyingine.
Lakini kilichotokea ilipofika January 2014 channel zote zilifungwa nikabakiwa na ITV, Startv, na TBC. Kuna katangazo kanapita likisema nikitaka kupata ful access ya hizo channel nyingine inabidi nikalipie vifurushi kuanzia TZS 16,000 {cha 8000 hakipo}
Sasa naombeni mnisaidie kama nilichokinunua ni kitu tofauti au sawa na vya kwenu?
Mbona vifurushi vyake ni gharama zaidi kuliko Ving'amuz vingine? {Tofauti na tunavyotangaziwa}
Na je ni kwreli EATV, Clouds, Na ATN are not free channels?
 
remote ya startimes naitumia kwa azam media ila y azam haitaki kwa startimes.
 
Back
Top Bottom