malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 2,781
- 2,720
Msaaada Kama kichwa habari kilivyoeleza hapo juu,
Nina miaka 34, nimeoa na watoto wawili shida niliyonayo ni uume kusimama kidogo Sana na hata kabla ya kuuweka ukeni unalala na siwezi tena hata uume kustuka kusimama.