Msaada: Uume wangu unasimama kidogo sana nikiuweka ukeni unalala

Msaaada Kama kichwa habari kilivoeleza hapo juu nna miaka34 nimeoa nawatoto wawili shida niliyonayo niuume kusimama kidogo Sana na hata kabla yakuuweka ukeni unalala nasiwezi Tena hata uume kustuka kusimama
Inaonekana uko stressed, toa mawazo ya kulala uume kama unampenda mkeo utasimama na kufanya kawaida. Kikubwa toa wasi wasi wako. Wewe na mkeo wote mtulie, kama unadaiwa au huna hela toa hayo mawazo.
 
inaonekana uko stressed, toa mawazo ya kulala uume kama unampenda mkeo utasimama na kufanya kawaida. kikubwa toa wasi wasi wako. Wewe na mkeo wote mtulie, kama unadaiwa au huna hela toa hayo mawazo.
Mawazo hasa nnayo yakulala uume maana tunapokua ktk maandalizi uume unasimama Ila sio strong kabisa yaan ikifika hatuna kuanza tendo Ile napeleka uume ukeni kabla haujafika kugusa uke Basi uume unalala
 
Ikitokea hali hiyo mkeo au partner wako huwa anaongea au kufanya nini, nini msimamo wake?
 
Back
Top Bottom