Msaada: Uume wangu unasimama kidogo sana nikiuweka ukeni unalala

Ahsante kwa ushauri nami hofu imetawala napia mke ushirikiano upo finyu ikitokea nashindwa nae anaghadhabika nasio kunipa moyo
Shida iko hapo, haswa huyo mwanamke ndio anakumaliza, anahitaji ushauri wa nini anatakiwa kufanya kama mama. Sasa hapo nashauri umuone mshauri umueleze kwanza halafu uje kwenda na mkeo.
 
Kabisa jamaa ana hofu kubwa ya kuto kusimamisha, na inaonekana mkewe hana ushirikiano kabisa ana analeta dharau, sasa jamaa anaishia pozi kabisa. Nadhani hapa yeye na mkewe wangeenda kuona talaamu wa saikologia ili kuwaweka sawa na kuielewa hiyo hali. kifupi mzee huna shida, tatizo lako ni hofu tu
Kuna wanawake wengine kuwa nao kwenye mahusiano kunapelekea matatizo kama ya mtoa mada!

Tabia,mienendo hulka,dharau,uchafu,kauli zao nk hukufanya usiwe na hamu nae kabisa au kushindwa kujiamini.
 
Huyu jamaa hatoi taarifa ipasavyo fatilieni nyuzi zake za awali kuna vitu mtagundua!. Tatizo anasema la miezi 4 kumbe toka 2020 huko.
Hujaelewa ipasavyo tatizo lakuwa hivi kabisa mfululizo nimiezi4 Ila kuwa Kama vile nikipindi kirefu yaan siwezi rudia roundi yapili
 
vp kuhusu mabadiliko ya mke wako kabla na baada ya kuzaa? amenenepa sana?? na anatumia njia gani ya uzazi wa mpango?

pia hata ww unaonekana umeongezeka uzito, BMI yako ni almost 28 kg/m² wkt normal ni 18 mpk 25..nakushauri muanze mazoezi pamoja itawasaidia sana

ingia pia youtube angalia jinsi ya kufanya kegel exercise
 
Yes nikweli hii shida ninayo tangia ndoa inamiez8
unaweza kumuelezea mkeo ni mwanamke wa namna gani katika mahusiano yenu ya kawaida, ni wale mbishi, nini kinakufurahisha au kukukera kwake? unajisikiaje juu yake?
 
Hujaelewa ipasavyo tatizo lakuwa hivi kabisa mfululizo nimiezi4 Ila kuwa Kama vile nikipindi kirefu yaan siwezi rudia roundi yapili
Ilitakiwa uambatanishe mkuu Kuna tofauti kubwa ya tatizo kuwa la muda mfupi na muda mrefu! Zile zilikuwa dalili za matokeo ya leo..

Ulishaenda hospital..?
 
Msaaada Kama kichwa habari kilivoeleza hapo juu nna miaka34 nimeoa nawatoto wawili shida niliyonayo niuume kusimama kidogo Sana na hata kabla yakuuweka ukeni unalala nasiwezi Tena hata uume kustuka kusimama
Isije kuwa ulitembeaga na mke wa mtu
 
Kuna wanawake wengine kuwa nao kwenye mahusiano kunapelekea matatizo kama ya mtoa mada!

Tabia,mienendo hulka,dharau,uchafu,kauli zao nk hukufanya usiwe na hamu nae kabisa au kushindwa kujiamini.
Nahisi kunayo miongoni uliyoyazungumza
 
Nahisi kunayo miongoni uliyoyazungumza
Pole mkuu...mbaya zaidi kama mkeo sio mstaarabu ataenda kukutangaza nje! Hapo ndipo utaumia zaidi na kukuua kisaikolojia. Jiamini na ondoa hofu, puuza lawama na makasiriko yake.
 
Ilitakiwa uambatanishe mkuu Kuna tofauti kubwa ya tatizo kuwa la muda mfupi na muda mrefu! Zile zilikuwa dalili za matokeo ya leo..

Ulishaenda hospital..?
Shida iliazaga 2015 kabla sjaoa yaan baada yakuwa ktk mahusiano ndio nkaexperiece ufanyaji tendo wa namna hiyo
 
Pole mkuu...mbaya zaidi kama mkeo sio mstaarabu ataenda kukutangaza nje! Hapo ndipo utaumia zaidi na kukuua kisaikolojia. Jiamini na ondoa hofu, puuza lawama na makasiriko yake.
Ndo nataka nijikite ktk kupunguza lawama namakasiriko yake ambayo ndio yananipelekea hii Hali kuwa hivi
 
Tafuta hiki kitabu: Suluhisho la matatizo yote kuhusu uhusiano, uchumba na ndoa, kitakusaidia,piga Simu 0756625286, wasiwasi wkt wa kufanya mapenzi,woga na masuala yote yanayohusu uume mdogo,nguvu za kiume, kuwahi kumaliza yamejadiliwa kwa kina na kutolewa ufumbuzi.
IMG-20211125-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom