Msaada: Uume wangu unasimama kidogo sana nikiuweka ukeni unalala

Ishinde hiyo hofu ya kushindwa kusimamisha kwanza ndo tiba zingine zifata bila hivyo amna kitakacho kusaidia
 
Ikitokea hali hiyo mkeo au partner wako huwa anaongea au kufanya nini, nini msimamo wake?
Inatokea Kama yaan Ile yeye mim nahitaji yeanaonekana Ile staki nataki zero ushirikiano au hata yeye akiwa anahitaji mim hutokea hiyo hali
 
Msaaada Kama kichwa habari kilivoeleza hapo juu nna miaka34 nimeoa nawatoto wawili shida niliyonayo niuume kusimama kidogo Sana na hata kabla yakuuweka ukeni unalala nasiwezi Tena hata uume kustuka kusimama
Chunguza yafuatayo kwanza.

Aina za vyakula unavyokula muda mchache kabla ya tendo hasa ndizi mbivu, pilau nk.

Hali ya kiakili uliyonayo kwa sasa huenda umevurugwa na maisha ,uchumi au kukosa amani kwa sababu zozote zile tulia.

Mwisho.
Utapona.
 
Nilitaka kukuambia kwamba mke wako hakupendi au wewe huna hisia na mke wako ndio maana unakua hiyo. Ila kwa hili jibu nimeona unamatatizo haswa looh, asubuhi hua uume unasimama lakini??
Kama jibu ni hapana.
Tafadhali tafuta waganga wakusaidie either umelogwa au kitofu kiliangukia dudu lako ukiwa mdogo
Usiku wamanane nkiamka kukojoa au asubuh nkiamka uume umesimama freshi tu Kama sekunde30
 
Unakula vizuri mzee, vipi ni mnene sana au una ugonjwa wowote mwingine, sukari pressure? kama ni mnene sana, anza mazoezi haraka.
iliwahi kutokea kwa jamaa yangu na akadhani amerogwa,lakini tulimpa ushauri wa kwenda kwa dr wa wanawake na alipatiwa dawa za kumponya na shida ikaisha kabisa,wakati huwa ni shida za homony ambazo huwapata sana kina mama,sasa inapokuja kwa wababa,matatizo kama yako hujitokeza.
 
Basi una mawazo...

Akili yako ndo inashida.
Kabisa jamaa ana hofu kubwa ya kuto kusimamisha, na inaonekana mkewe hana ushirikiano kabisa ana analeta dharau, sasa jamaa anaishiwa pozi kabisa. Nadhani hapa yeye na mkewe wangeenda kuona talaamu wa saikologia ili kuwaweka sawa na kuielewa hiyo hali. kifupi mzee huna shida, tatizo lako ni hofu tu.
 
Kabisa jamaa ana hofu kubwa ya kuto kusimamisha, na inaonekana mkewe hana ushirikiano kabisa ana analeta dharau, sasa jamaa anaishia pozi kabisa. Nadhani hapa yeye na mkewe wangeenda kuona talaamu wa saikologia ili kuwaweka sawa na kuielewa hiyo hali. kifupi mzee huna shida, tatizo lako ni hofu tu.
Ahsante kwa ushauri nami hofu imetawala napia mke ushirikiano upo finyu ikitokea nashindwa nae anaghadhabika nasio kunipa moyo
 
Back
Top Bottom