Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,465
Wakuu naomba kujua utaratibu mzima wa kufanya ziara na wanafunzi wa sekondari kwenye mbuga za wanyama ukoje in term of; gharama ya kiingilio kwa kila kichwa na tozo za magari binfsi yaingiapo katika hifadhi,kama kuna kibari maalum cha kuruhusiwa kuingia mbigani. na prefer mbuga ya mkomazi ambayo ipo karibu na safari itakapo anzia i mean lushoto.
Asanteni sana na mbarikiwe.
Asanteni sana na mbarikiwe.