Msaada: Utambuzi wa Harufu mbaya/nzuri

Hata mimi ni kama wewe mkuu! sinusagi kabisa labda vitu common kama sigara na petrol au harufu kali sana kama za spirits. Sijui kwa nini ati...

Mkuu fuatilia kwa makini coment za watu8 na Idimi zitakusaidia kujua chanzo cha matatizo haya... Eti Mamaafacebook anashangaa tatizo hili wakati watu tunalo miaka sasa.
 
Last edited by a moderator:

kwa shida za aina hii huwa kuna vyanzo viwili tu. congenital (kwamba ulizaliwa hivyo hivyo) ama kutokana na infections (kama chronic flu etc ) ukaishia kuwa hivyo. Sijasoma sana kuhusu hili. Hebu angalia application inaitwa webmd, uone wanasemaje. search tu kikawaida, nitaicheki pia
Nini chanzo cha tatizo hili..!
 
aiseee mim nanusa hadi sio vizur yan muda mwingine naweza kuwa ugenin nikahisi harufu mbaya nikawaambia huniona kama nadharau flan hiv kumbe ndio nilivyo aiseee yan iwe harufu mbaya au nzuri niko na sense haraka sana sijui kwanin
 
Asante// ngoja nikacheck huko google
 
Mimi sio Mtaalamu lakini ninahisi una matatizo kwenye mishipa yako ya tundu za pua ningekushauri uende hospitali kuu ya Muhimbili kuna Wataalamu wa matatizo ya pua utaweza kupatiwa ufumbuzi pole sana WaKatende
 
Ndugu binafsi siyawai kumuona kiumbe keme wewe,so ni vyema ukapate usahauli wa dactar hili unijuze na mimi ndugu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Sasa hivi kuna baadhj ya watu wengi limewakumba hili tatizo but seems to be temporaly ni baada watu fulani jijini dar es salaam kupuliza dawa ya kuua virus so imewaafect watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…