DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,611
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]We endelea kulala ukijakushtuka Gwajima amekuwa raisi wa Tanzaaania
NB:elewa neno Tanzaaania
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]We endelea kulala ukijakushtuka Gwajima amekuwa raisi wa Tanzaaania
NB:elewa neno Tanzaaania
Najitahidi lakini unanizidia. Kuna muda naweka vijiti kwenye kope ili kuzishikilia zisifumbe lakini wapi
La KudumuNi suluhisho la kudumu au nitatakiwa niwe naigujula kila siku kama dozi ya ARV?