mkandaboy
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 257
- 89
Wanajukwaa habari za saa juzi? Naombeni ushauri kwa wenzangu mlio na uzoefu na gereji za wachina hapa Dsm. Ni gereji gani nzuri kwa unyooshaji wa gari iliyopata ajali ya kupinduka ? Vigezo vya uzuri ni kama ifuatavyo;
-Unyooshaji mzuri wa body
-Uharaka wa kazi
-Uaminifu wa kutunza gari na vilivyomo
Ni matumaini yangu mtanisaidia. Natanguliza shukran zangu...
-Unyooshaji mzuri wa body
-Uharaka wa kazi
-Uaminifu wa kutunza gari na vilivyomo
Ni matumaini yangu mtanisaidia. Natanguliza shukran zangu...