ms_shylo
Member
- May 25, 2013
- 62
- 26
Boyfriend wangu alikuwa na urafiki na Dada mmoja na wakawa wanashauriana sana mambo ya kibiashara,lakini Yule Dada alikuwa anapiga sim kwa my man Kila saa, mind you she is married.My boyfriend aliniambia anadhani huyu Dada anamtaka.Jana she asked him waonane na nilimuuliza jamaa his timetable hakuniambia kuhusu kukutana na huyu dada.I forgot to mention that I had moved in na my bf! Baadae karudi msg ikaingia kwenye sim yake ghafla nikajiskia kufungua ile msg nilipo ifungua Yule Dada alikuwa akimshukuru bf wangu for the kiss na akamwambia g9t I love yu hun.I had an arguement with my man Ila he insists huyu Dada made a move.Sijui maongezi yao yalihusu nini na pia mume wa huyu Dada alikuwepo hiyo sehem Ila my man na huyu Dada walienda kuongea pembeni.nimejaribu kuifipisha hii story.naombeni ushauri wenu jamani nifanyeje?