Msaada ushauri.Bf wangu na mke wa mtu.

Msaada ushauri.Bf wangu na mke wa mtu.

Dada mwanamke mwenzio anakaribia kukuchukulia mchuma wako...
 
yua sound story is like ma yong sister's stor.unachukuliwa mwanaume soon.
 
Una ubakika mume wa huyo dada alikuwepo??? Dalili za mvua ni mawingu bi dada hamjaoana anakiss na kudo ya wake za watu mkioana atafagia hadi mahausigelo

Shtukaaaaa

Hahaha yes mme wa huyu Dada alikuwepo,her previous msg zilisema "njoo haraka,am bored hapa na *****(jina la mumewake) and my bf alienda na cousin wake ambaye anajuana na mme wa huyu Dada so my bf's cuzn alikuwa anaongea na mume wa huyu Dada huku my bf na huyu Dada wanaongea pembeni
 
Janani asanteni kwa ushauri na asanteni pia mlioweka utani mbele coz you made me laugh.baada ya kusoma ushauri wenu atleast I see the ease on letting go. 🙂
 
Thanx for kiss....halafu hny...halafu ulitaka akujibu ndio tulikuwa faragha? Au ulitaka tu kusikia jibu ulilokuwa nalo tayari?
 
Thanx for kiss....halafu hny...halafu ulitaka akujibu ndio tulikuwa faragha? Au ulitaka tu kusikia jibu ulilokuwa nalo tayari?
Nilitaka kusikia jibu nililokuwa nalo tayari atleast ningefikiri he is being honest instead of tryna make a fool of me kwa kunidanganya kama mtoto with obvious lies
 
Nilitaka kusikia jibu nililokuwa nalo tayari atleast ningefikiri he is being honest instead of tryna make a fool of me kwa kunidanganya kama mtoto with obvious lies
Pole sana mdau, katika mambo ya infidelity jibu unatakiwa kujipa mwenyewe toka kwenye matukio yaliyojiri maana ni mara chache sana watu watact honestly japo matukio wapo wazi. Kwahiyo ni watu wachache sana wanaweza kuwa na hii tunu ya "honest" katika suala la udanganyifu wa mapenzi. Jipe jibu then chukua uamuzi, ni hilo tu.
 
Boyfriend wangu alikuwa na urafiki na Dada mmoja na wakawa wanashauriana sana mambo ya kibiashara,lakini Yule Dada alikuwa anapiga sim kwa my man Kila saa, mind you she is married.My boyfriend aliniambia anadhani huyu Dada anamtaka.Jana she asked him waonane na nilimuuliza jamaa his timetable hakuniambia kuhusu kukutana na huyu dada.I forgot to mention that I had moved in na my bf! Baadae karudi msg ikaingia kwenye sim yake ghafla nikajiskia kufungua ile msg nilipo ifungua Yule Dada alikuwa akimshukuru bf wangu for the kiss na akamwambia g9t I love yu hun.I had an arguement with my man Ila he insists huyu Dada made a move.Sijui maongezi yao yalihusu nini na pia mume wa huyu Dada alikuwepo hiyo sehem Ila my man na huyu Dada walienda kuongea pembeni.nimejaribu kuifipisha hii story.naombeni ushauri wenu jamani nifanyeje?

Nadhan unatakiwa uanze kufanya uchunguzi kimya kimya bila kuonesha kustuka, utakapopata data za kutosha kaa naye chini muongee vizuri, DO NOT JUMP ONTO CONCLUSION SO EASILY, UNAWEZA KUKOSA VYOTE KAMA MYONGA MBWA ASIYE MNYALU, HUKOSA MBWA NA NYAMA.(omba mungu ili bf wako awe anatumia condom muda wako wote wa uchunguzi, maana dunia ya leo..........)
 
Achana na tabia ya kupekua simu za wanaume... Hata ukimuacha huyo ukaenda kwa mwingine nakuhakikishia atakuwa hivyo hivyo. Kama huamini njoo kwangu uone nitakavyokuchiti!...
 
Nilitaka kusikia jibu nililokuwa nalo tayari atleast ningefikiri he is being honest instead of tryna make a fool of me kwa kunidanganya kama mtoto with obvious lies


Ungeckiaje kama ungekuta NAMISS RAHA UNAZONIPA?
 
Back
Top Bottom