Bandugu amani na iwe nanyi,
Ninaomba ufafanuzi wa gari aina ya Toyota Passo
Ninatarajia kununua gari dogo kwa ajili ya safari fupi fupi, kuendea sokoni na kanisani, kwa makadirio weekly inaweza tembea 10 kmts
Kutokana na hali ya uchumi nimeona gari ambayo naimudu bila kuadhiri budget ni Toyota Passo,
ninaomba ufaafanuzi kwa wamiliki/waliowahimiliki kuhusu ubora wake, upatikanaji wa spea zake na matatizo yake ni nini naona kuna zenye cc 990 piston 3 na cc 1300 piston 4
Kwa maoni yako ni ipi unadhani ni bora?
Wasalaaam