Msaada: "unsupported midlet"

Msaada: "unsupported midlet"

CEYLON

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
314
Reaction score
151
nime downoad na ku install whatapp katika simu yangu (tecno t736),nilipofanya "installation" niliambiwa "installed successfuy"file lake lipo kwenye "java" lakini ninapotaka kutumia "whatsapp" yanatokea maandishi "unsupported midlet"naomba msaada wa kuelekezwa kitu nachtakiwa kufanya ili nami ni 'enjoy' huduma ya whatapp.
 
inaonekana simu yako haina uwezo wa watsapp mkuu usilazimishe kama haiwezekani
 
nime downoad na ku install whatapp katika simu yangu (tecno t736),nilipofanya "installation" niliambiwa "installed successfuy"file lake lipo kwenye "java" lakini ninapotaka kutumia "whatsapp" yanatokea maandishi "unsupported midlet"naomba msaada wa kuelekezwa kitu nachtakiwa kufanya ili nami ni 'enjoy' huduma ya whatapp.

Application yeyote ikikwambia hivyo ujue ! Simu yako haijafikia kiwango stahiki ! Cha ku run app kama hiyo !

Kwa kifupi tu !
 
Back
Top Bottom