Msaada: "unsupported midlet"

Msaada: "unsupported midlet"

CEYLON

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
314
Reaction score
151
nime -download na ku- install whatsapp katika simu yangu (tecno t736),nilipofanya "installation" niliambiwa "installed successfuy"file lake lipo kwenye "java" lakini ninapotaka kutumia "whatsapp" yanatokea maandishi "unsupported midlet"naomba msaada wa kuelekezwa kitu nachtakiwa kufanya ili nami ni 'enjoy' huduma ya whatsapp.
 
Back
Top Bottom