Msaada unaitajika

Msaada unaitajika

Unajiita Magical power halafu hujui kuwaita majini ...

Kuna jamaa fulani aliwahi niambia unachukua "Quran" unaenda kuikanyaga chooni miguu yote miwili , Hapo unaliita jini Makata unalituma kwenda kumdhuru yeyote..

NB: Kua makini mana jamaa alisema ukiingiza hofu tu unapasuka matumbo au unachanganyikiwa milele...

Kwa upande wangu mi naona ni FAIRLY TALES tu ..
Mashetani ili wakufanyie kazi ni lazima ukufuru kufuru zilizokuwa kubwa.

Mfano ni haram kuingia na maneno ya MUNGU chooni. Hata kutamka jina la MUNGU ukiwa chooni ni makosa. Why kwasababu chooni ni sehemu chafu na MUNGU ni msafi, mtakatifu.

Hivyo huwezi kutamka jina lake mahala pachafu.

Mashetani wa kijini (majini waovu) ili wafanye kazi yako ni lazima ukufuru kama wao au zaidi yao. Kukanyaga maneno ya MUNGU ni dharau na kufuru kubwa mbele ya Mungu. Hivyo ukishakufuru sasa ndio nao wanakufanyia kazi yako na ili waendelee kukufanyia kazi ni lazima uendelee kukufuru zaidi na zaidi.

Ndio unaona washirikina wanakinajisi Kitabu chenye maneno ya MUNGU, waanaingia nacho sehemu chafu n.k

Wengine wanafikia kukipaka hadi damu ya hedhi n.k kusudi kubwa ni wao wafanyiwe kazi zao na mashetani ya Kijini.
 
Mashetani wa kijini mwanzo wataanza kukupa masharti madogo madogo kama hayo ya kunajisi kitabu cha Mungu then wataendelea kukupa masharti ufanye kufuru za kuchinja wanyama kwa ajili yao, mwisho utafikia mpk kutoa kafara za damu za wanadamu wenzako, kizazi chako n.k wengine hufikia mpk kufanya mapenzi na ndugu zao /watoto wao na pia kufanya mapenzi ya jinsia moja ili wapate kutumikiwa na mashetani.

NB
WAPO MAJINI WACHAMUNGU (Waumini) na Wapo MAJINI WAOVU (Mashetani ya kijini).

Kama ilivyo kwetu wanadamu wapo binadamu wema na wapo binadamu waovu (mashetani ya kibinadamu).
 
Mashetani ili wakufanyie kazi ni lazima ukufuru kufuru zilizokuwa kubwa.

Mfano ni haram kuingia na maneno ya MUNGU chooni. Hata kutamka jina la MUNGU ukiwa chooni ni makosa. Why kwasababu chooni ni sehemu chafu na MUNGU ni msafi, mtakatifu.

Hivyo huwezi kutamka jina lake mahala pachafu.

Mashetani wa kijini (majini waovu) ili wafanye kazi yako ni lazima ukufuru kama wao au zaidi yao. Kukanyaga maneno ya MUNGU ni dharau na kufuru kubwa mbele ya Mungu. Hivyo ukishakufuru sasa ndio nao wanakufanyia kazi yako na ili waendelee kukufanyia kazi ni lazima uendelee kukufuru zaidi na zaidi.

Ndio unaona washirikina wanakinajisi Kitabu chenye maneno ya MUNGU, waanaingia nacho sehemu chafu n.k

Wengine wanafikia kukipaka hadi damu ya hedhi n.k kusudi kubwa ni wao wafanyiwe kazi zao na mashetani ya Kijini.
Kumbe haikua story tu, kumbe hii ni kweli aiseee

Hatari sana hii ni hatari mnoo, Yani unakua umemtukuza Shetani moja kwa moja ..
 
Kumbe hii kweli aiseee

Hatri sana hii ni hatari mnoo, Yani unakua umemtukuza Shetani moja kwa moja ..
Yeah ndio lengo kubwa la ibilisi. Kumfanya mwanadamu amkufuru Mungu ili mwisho wa siku apate watu wa kuingia nao Motoni .

Unaweza kujiuliza mbona Mungu anaacha kitabu chenye maneno yake kichezewe na kinajisiwe?

Jibu ni kuwa Mungu ana subira sana, huwa anawapa muda viumbe wake huenda ikafika muda wakatubia madhambi yao na kubadilika kuwa wema. So anawapa Muda viumbe na wale ambao hawana lengo la kubadilika waendelee kukufuru ili siku akiwatia mkononi wasiwe na hoja tena juu ya yale maovu waliokuwa wakiyatenda. MUNGU hana haraka kabisa anajua maisha yetu viumbe ni mafupi mno na mwisho wa ujanja wetu ni kunasa katika kifo.
 
Ukienda kwa mganga...Jini muovu (shetani) humuingia mganga na kuanza kuongea na wewe...unamueleza shida zako nae anakuahidi atakutatulia ila sio bure lazima utimize nae masharti yake, anaweza kukwambia utafute kuku mweusi,mwekundu au mweupe kisha umchinje huku ukinuia shida zako kwa kutaja jina la jini badala ya kutaja jina la Mungu. Ukitimiza masharti yake ndio anaanza kukufanyia kazi ila anahakikisha unaendelea kubaki mtumwa wake milele kwa kukupa masharti endelevu.

Mfano kila wiki utoe kafara ya mnyama n.k
 
Wakuu naomba kujua jinsi ya kumwita jini live na kuongea nae kwa njia za short cut na akaja🙏🏽.View attachment 3096500
Ukimpata mmojawapo kati ya hawa atakusaidia:
1. Askofu Florian Katunzi
2. Mwl Christopher Mwakasege
3. Mch Mbarikiwa Mwakipesile
4. Askofu Moses Maghembe
5. Askofu Joseph Gwajima
6. Askofu Zakaria Kakobe
7. Askofu Sylvester Gamanywa
8. Mch. Eliona Kimaro
9. Mch Matsai
10. Dr. Barnaba Mtokambali
 
Back
Top Bottom