Msaada unahitajika wana JF

Josey j

JF-Expert Member
May 26, 2017
466
902
Habarini waungwana na shughuri zenu...

Lengo la kuandika Uzi huu ni kuomba msaada kwa anaefaham hali iliyonikuta Leo.

Sina kawaida ya kula Nazi na maji yake, lakini niliamua kunywa yale maji yanayopatikana ndani ya Nazi baada ya kuipasua , kwa sababu nmekua nikisikia juu ya faida zake

Saa moja baada ya kunywa Yale maji, hali ya mwili ilibadirika ghafla .. Kichwa kikaanza kuniuma mwili ukawa mchovu kupika maelezo.. Kwa kifupi nlikua na dalili kama za mtu mwenye homa kali sana...hadi mudaa huu hali iko vivyo hivyoo, kwa anae jua... Nakaribisha kwa ushauri wenu waungwana
Aksanteni .
 
Hakuna tatizo lolote hapo ni mwili umepokea kitu kigeni kabisa ndio maana unaona hivyo. Usijali hali itarudi kama mwanzo.
 
Back
Top Bottom