Msaada unahitajika wa kufungua email yangu

french

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
3,525
3,649
siwezi kufungua emails zangu mpaka niingize code ambazo zinatumwa kwenye simu yangu. bahati mbaya sana line ya airtel ambayo code hizi zinatumwa sina, yaani amepewa mtu mwengine kwani sijaitumia mda mrefu. huyo mtu aliepewa nae haitumii kwani ina takriban mwaka sasa haipatikani na sjawahi mpata. Nimehangaika sana airtel wanirudishie hii namba au wanipe code nifungulie email zangu wamegoma kabisa. wanasema namba kama imesajiliwa na mtu mwengine na kitambulisho huwezi ipata tena. nifanyeje wakuu nipate hata code tu nifungue email yangu.
 
Kma haukuweka number alternative huwezi ingia hyo email yako. Yaani hyo hata ukiwaambia google wenyew hawakufungulii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio google mkuu ni yahoo. instead of password pale kuna mob number. hapa sijui nafanyaje mkuu
2 factor authentication ndio ipo hvo. Hata yahoo nayo process ni ile ile tu. Bila number ya simu huwezi ingia hata kwa dawa. Unatakiwa uweke recovery email (email ya mtu mwingine wa karibu au yako nyingine) or uweke alternative numbers. Ukibadilsha number ya simu kumbuka kubadilisha na kwenye email zako.
Screenshot_20210227-104013.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kitu unachokitafuta kwenye email ni cha msingi sana

1. Usiogope kutumia pesa
2. Mtangazie dau huyo aliyepewa namba yako ili akubali kupoteza muda wake ktk kuwasiliana na airtel ili muone namna ya kuirejesha hiyo lain.
3. Manenoatupu hayavunji mfupa wa kukusaidia ni huyo jamaa kama atakubali dau lako na kuamua kupoteza muda wake kidogo kwa ajili yako basi fanyeni kazi.

4.... Hackers sijui kama wanaweza kuingilia mifumo ya yahoo na kuweza kuidukua email yako na kusoma kilichomo.(namaanisha wa hapa kwetu tz.) Hii ndio njia ya mwisho kama hizo nilizotaja hapo juu zikiahindikana.

kumbuka hakuna mkate mgumu mbele ya chai(peasa).
 
Unapoingia Yahoo unaona kipengele 'I don't remember my password' ?
ninapoingia tu inataka niingize phone number/email address. nikiingiza emaiil inakataa kwenda next step. nikiingiza namba ya simu inakubali, hapo sasa ndio inatuma code kwenye hiyo namba ambayo kwa sasa sina mkuu.
 
umeona hapo. email nikiweka inagoma mpka namba ya simu
Screenshot_2021-02-27-23-25-59.jpg
 
siwezi kufungua emails zangu mpaka niingize code ambazo zinatumwa kwenye simu yangu. bahati mbaya sana line ya airtel ambayo code hizi zinatumwa sina, yaani amepewa mtu mwengine kwani sijaitumia mda mrefu. huyo mtu aliepewa nae haitumii kwani ina takriban mwaka sasa haipatikani na sjawahi mpata. Nimehangaika sana airtel wanirudishie hii namba au wanipe code nifungulie email zangu wamegoma kabisa. wanasema namba kama imesajiliwa na mtu mwengine na kitambulisho huwezi ipata tena. nifanyeje wakuu nipate hata code tu nifungue email yangu.
Kunakuaga na alternative soma vizuli
 
Kuna options tatu nafikiri
Moja ni email ya pili ni namba ya simu na tatu ni majibu ya maswali unayoyajua wewe
Hili linawezekana kirahisi kama unaweza kufuata maelekezo hata Google
Jaribu ku type hiyo itakupa njia mbadala
IMG_5973.jpg
 
siwezi kufungua emails zangu mpaka niingize code ambazo zinatumwa kwenye simu yangu. bahati mbaya sana line ya airtel ambayo code hizi zinatumwa sina, yaani amepewa mtu mwengine kwani sijaitumia mda mrefu. huyo mtu aliepewa nae haitumii kwani ina takriban mwaka sasa haipatikani na sjawahi mpata. Nimehangaika sana airtel wanirudishie hii namba au wanipe code nifungulie email zangu wamegoma kabisa. wanasema namba kama imesajiliwa na mtu mwengine na kitambulisho huwezi ipata tena. nifanyeje wakuu nipate hata code tu nifungue email yangu.
Huu ndio ushauri
Kama kitu unachokitafuta kwenye email ni cha msingi sana

1. Usiogope kutumia pesa
2. Mtangazie dau huyo aliyepewa namba yako ili akubali kupoteza muda wake ktk kuwasiliana na airtel ili muone namna ya kuirejesha hiyo lain.
3. Manenoatupu hayavunji mfupa wa kukusaidia ni huyo jamaa kama atakubali dau lako na kuamua kupoteza muda wake kidogo kwa ajili yako basi fanyeni kazi.

4.... Hackers sijui kama wanaweza kuingilia mifumo ya yahoo na kuweza kuidukua email yako na kusoma kilichomo.(namaanisha wa hapa kwetu tz.) Hii ndio njia ya mwisho kama hizo nilizotaja hapo juu zikiahindikana.

kumbuka hakuna mkate mgumu mbele ya chai(peasa).

Yalinikuta masaibu ya aina hii mimi kwa upande wa paypal, nakuambia hivi huwa siwezi tena kufanya 2 factor authentication kwa lolote lile na hata maswala ya pesa freelancing site Wana hiyo kitu be carefully
 
ninapoingia tu inataka niingize phone number/email address. nikiingiza emaiil inakataa kwenda next step. nikiingiza namba ya simu inakubali, hapo sasa ndio inatuma code kwenye hiyo namba ambayo kwa sasa sina mkuu.
french ingiza/weka namba uliyonayo / tena kwenye simu kwa sasa!.
 
Huu ndio ushauri

Yalinikuta masaibu ya aina hii mimi kwa upande wa paypal, nakuambia hivi huwa siwezi tena kufanya 2 factor authentication kwa lolote lile na hata maswala ya pesa freelancing site Wana hiyo kitu be carefully
mkuu huyo jamaa mwenye hiyo namba hapatika takriba mwaka sasa. nimetuma msg atleast akiwasha aone msg ila wapi. ukipiga najibiwa hiyo namba imezuiliwa
 
Back
Top Bottom