Msaada wa ku_unlock Facebook account

Msaada wa ku_unlock Facebook account

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Mnamo tarehe6 February account yangu ya Facebook ilijifunga ghafla ikidai Kuna mtu mwingine alikuwa anaifungua kwenye kifaa kingine, ikataka niingize code namba wanazontumia, nikawa naingiza hizo codes lakini hazikubali, nikawa narudia na kurudia lakini wapi..badae fb ikanambia nimerudia sana hivo ikaifunga zaidi ya hapo,, Yani code nilizokuwa naingiza kupitia simu na email zote hazikubali na nina details zangu nyingi TU nilisev huko,,,msaadajama i
 
Njoo na elfu 10 Yako inbox,
Nitakutengenezea ikiwa okay unanipa pesa yangu nakupa password,
 
Back
Top Bottom