Msaada unahitajika wa haraka wa kiimani

Msaada unahitajika wa haraka wa kiimani

Habari zenu wakuu.
Nikimbie moja kwa moja kwa Tatizo langu, Kama nilivyotanguliza kwenye kichwa cha habari kuwa niahitaji msaada wa kiimani nadhani nitaeleweka vizuri na wale ambao tunatofautiana imani ili kuepusha lugha za fedhuli, Dharau, maudhi na Matusi,

Naomba kuuliza kwa wale tunaoamini kuwa uchawi na uganga vipo na vinatumiwa na wanajamii

Wakuu swali langu lipo hivi kuna madhara gani ninaweza kukutana nayo iwapo nikitengenezwa na mtaalamu kuwa na uwezo wa kuwaona wachawi wakija kuniwangia hasa mida ya usiku?

Au kuwa na uwezo wa kuwagundua mara tu nikikutana nao??

Naombeni majibu kwa wanaoamini uwepo wa vitu hivyo kama huamini tafadhari pita kushoto
Na wewe unaweza kuingia huko. Kama mwislam dumu katika Dua hasa Ayatul Qursiyu hawatakuja wala kukudhuru. Kama mkristo PIGA kwa imani Yako. Huo ni ushirikina 100% katika imani za dini. Wasalam
 
Kuna mambo matatu hadi matano yatakutokeani mojawapo. 1.unaweza kuwa mchawi 2.unaweza ukawa kichaa 3.unaweza ukafa 4.unaweza ujawa hulali 5.utaishi mateso ya shida
 
mkuu tupeane heshima kwa panapobidi sina maana ya kuwa namdharau huyo mtu unaenifananisha nae ila najaribu kuuliza tu friendly kwenye hii post na ufananisho mkuu ustafte chuki ziszokuwa na msingi
hahaaaa jina la Beira London baby boi
laleta sekeseke huku
tukaneni tu ..mods wala hawato wapa ban..haha
 
Kuna mambo matatu hadi matano yatakutokeani mojawapo. 1.unaweza kuwa mchawi 2.unaweza ukawa kichaa 3.unaweza ukafa 4.unaweza ujawa hulali 5.utaishi mateso ya shida
that's true, usijaribu mkuu hao watu wanatisha, niulize mm nlichokutana nacho
 
Ukiamka jikabidhi kwa Mungu aliyekuumba, mwamini, mwabudu, mheshimu na umtumikie pia waombee msamaha wale wasiofanya hayo. Haatacha kukulinda, huyo nchawi na mganga wote wanamtegemea yeye.
 
Habari zenu wakuu.
Nikimbie moja kwa moja kwa Tatizo langu, Kama nilivyotanguliza kwenye kichwa cha habari kuwa niahitaji msaada wa kiimani nadhani nitaeleweka vizuri na wale ambao tunatofautiana imani ili kuepusha lugha za fedhuli, Dharau, maudhi na Matusi,

Naomba kuuliza kwa wale tunaoamini kuwa uchawi na uganga vipo na vinatumiwa na wanajamii

Wakuu swali langu lipo hivi kuna madhara gani ninaweza kukutana nayo iwapo nikitengenezwa na mtaalamu kuwa na uwezo wa kuwaona wachawi wakija kuniwangia hasa mida ya usiku?

Au kuwa na uwezo wa kuwagundua mara tu nikikutana nao??

Naombeni majibu kwa wanaoamini uwepo wa vitu hivyo kama huamini tafadhari pita kushoto
Majibu mshana plz
 
Tafura dawa ya kuona mazuri mfano fursa za pesa ,biashara nzuri nk achana na ujinga wa kutafuta dawa za kuona wachawi haikusaidii kitu kukukwamua kwenye umaskini
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
that's true, usijaribu mkuu hao watu wanatisha, niulize mm nlichokutana nacho
Mkuu.....Naomba japo kwa uchache maana hawa jamaa wananikera sana hapa mtaani sijui waniona mi boya yaan huwa wananitesa sana hadi usku silalagi natamani niweze kuwatambua ili nije nimbananishe mmoja nimpe kiminyo
 
Mweleze Mungu haya katika dua zako, utawaona katika ndoto kikubwa ni imani
 
Back
Top Bottom