Msaada unahitajika wa haraka wa kiimani

Msaada unahitajika wa haraka wa kiimani

Mkuu.....Naomba japo kwa uchache maana hawa jamaa wananikera sana hapa mtaani sijui waniona mi boya yaan huwa wananitesa sana hadi usku silalagi natamani niweze kuwatambua ili nije nimbananishe mmoja nimpe kiminyo
Sali kwa imani kbl ya kulala
Natamani nijue imani yako
Km christian nikupe vifungu vya bible
 
Back
Top Bottom