Msaada Unahitajika Hapa.

Msaada Unahitajika Hapa.

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,604
Reaction score
1,857
Jamaa kanunua Program, kabla ya ku install imekuja hii kitu, kabaki anabung'aa macho tu hajui nini cha kufanya.

funny-windows-error2.jpg

 
Ni sawa na kufungwa macho kwa kitambaa usione halafu
uambiwe kutembea kando kando ya mto wenye mamba
 
Back
Top Bottom