Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

Mwenzio anatamani amuache mkewe ili amchukue mchepuko ila ndio hivyo it is too late ila wewe umekazana kumsukumizia kwa mkewe tu. Amini usiamini huyo mchepuko ikitokea akamwomba jamaa amwache mkewe amuoe jamaa atakubali. Jamaa keshadata, chezea moyo ukipenda wewe!
Kwanini hakumwacha hapo mwanzo, binti naye alikuwa mjanja huku wanamturufu huku anatafuta mchumba safi sana, halafu hapo mseme tunaoa bikira kweli hiyo?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja aje mwenyewe aseme
Read between the lines. Mwanzoni hakumuacha mkewe kwa sababu mchepuko ulikuwa bado haujaolewa. Sasa hivi maumivu anayopitia hayamithiliki, yupo kwenye tanuru la moto. Sisi wanaume tunajijua. Ikitokea mchepuko ukarudi kwa sharti la kuolewa hatafikiri hata mara mbili, jibu litakuwa yes.
 
Kwanini hakumwacha hapo mwanzo, binti naye alikuwa mjanja huku wanamturufu huku anatafuta mchumba safi sana, halafu hapo mseme tunaoa bikira kweli hiyo?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Hakumuacha kwa sababu hakuona haja ya kuoa, wanasema "kama maziwa napata kuna haja gani ya kufuga ng'ombe?" Sasa ng'ombe keshafugwa na mfugaji mwingine maziwa hapati tena unadhani akipata nafasi ya kumfuga huyo ng'ombe ataacha?
 
Wenzako wakipata wa hivi wanaoa awe mke wa pili.... Ndoa inafungwa hata kimila au bomani.

Binafsi nisingemuachia.

Dah nimeyumba sana mkuu! Nilijisahau sana aisee ndio maana siku ananiambia kapata mchumba anataka kuja kutolewa mahari almanusura nizimie.
 
Anza kufurahia matendo ya mkeo Ila kama mkeo ni mtu wa Kilimanjaro aisee utalia kila mara iasee wale dada zangu hawawezi kukupa furaha wala kukufariji zaidi ya lawama naamini mchepuko alikuwa mtu wa mkoa tofauti na kaskazini Ila punguza mawasiliano kama miezi mi3 then ushepu uhusiano wenu kuwawa kindugu japo najua mbeleni utakuja kurudisha jeshi kwake

Yaani kwa hapa itabid nijikaze sana aisee
 
Mwenzio anatamani amuache mkewe ili amchukue mchepuko ila ndio hivyo it is too late ila wewe umekazana kumsukumizia kwa mkewe tu. Amini usiamini huyo mchepuko ikitokea akamwomba jamaa amwache mkewe amuoe jamaa atakubali. Jamaa keshadata, chezea moyo ukipenda wewe!

Yaan kwa huyu binti na lifestyle niliyoishi nae nilikua sipindui uongo tukiweka pembeni.
 
Kwanini hakumwacha hapo mwanzo, binti naye alikuwa mjanja huku wanamturufu huku anatafuta mchumba safi sana, halafu hapo mseme tunaoa bikira kweli hiyo?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app

Kwa kweli huyu binti alinizidi akili nikiri! Maana siku ananiambia anakuja kutolewa mahari sikuamini..siku hiyo sikufanikiwa kuiona ila harusi na sendoff zote nilihudhuria..aisee nilihisi kulia na kucheka kwa wakati mmoja! Cha kunishangaza jamaa yuko very happy na kamzoea kbs mpk nikajiuliza kamzoea kwa muda gani! Yaani nilijiuliza maswali mpk leo majibu yk sina.
 
Read between the lines. Mwanzoni hakumuacha mkewe kwa sababu mchepuko ulikuwa bado haujaolewa. Sasa hivi maumivu anayopitia hayamithiliki, yupo kwenye tanuru la moto. Sisi wanaume tunajijua. Ikitokea mchepuko ukarudi kwa sharti la kuolewa hatafikiri hata mara mbili, jibu litakuwa yes.

Yaani jibu lingekua ni yes with the whole heart.
 
Alijua akikwambia mapema ungeanza kulia. Hukuamini majicho yako kama mpenzi wako na yeye ana mpenzi wake mweeh
Kwa kweli huyu binti alinizidi akili nikiri! Maana siku ananiambia anakuja kutolewa mahari sikuamini..siku hiyo sikufanikiwa kuiona ila harusi na sendoff zote nilihudhuria..aisee nilihisi kulia na kucheka kwa wakati mmoja! Cha kunishangaza jamaa yuko very happy na kamzoea kbs mpk nikajiuliza kamzoea kwa muda gani! Yaani nilijiuliza maswali mpk leo majibu yk sina.
 
Hakumuacha kwa sababu hakuona haja ya kuoa, wanasema "kama maziwa napata kuna haja gani ya kufuga ng'ombe?" Sasa ng'ombe keshafugwa na mfugaji mwingine maziwa hapati tena unadhani akipata nafasi ya kumfuga huyo ng'ombe ataacha?

Kwa mhaho ninaoupata ni nitakubali kwa kufuga mm kwa speed ya 4g! Nimepigwa na mapenz uzeen maumivu yamezidi ht nilivyoachwa na kapenz kangu ka kwanza kukapenda...halafu nae alikua ana character km za wife na huyu anainipa mhaho...wanaume weupe sijui nn kinatuvutaga km sumaku kwa hizi pisi za chocolate.
 
48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom