Msaada: Ukichukua form ya maombi ya passport uhamiaji unatakiwa kurudisha ndani ya muda gani?

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,092
1,433
Waungwana nataka kufahamu ukichukuwa form ya maombi ya passport uhamiaji unatakiwa uirudishe ndani ya muda gani?

Je, kuna muda ukichelew Ina expire?
 
Waungwana nataka kufahamu ukichukuwa form ya maombi ya passport uhamiaji unatakiwa uirudishe ndani ya muda gani?

Je, kuna muda ukichelew Ina expire?
Uhamiaji wamerudi kwenye kutoa fomu?! Mara ya mwisho nakumbuka ilikua unaprocess fomu online unajaza unaprint unapeleka na viambatanishi vyako
 
Ukishamaliza online process na kupata namba ya malipo,unatakiwa uwe umelipa ile 20,000 ndani ya mwezi, alafu 130,000 iliyobaki utalipa ukienda kukabidhi makaratasi yako immigration
 
Anatakiwa alipe 20,000/ ili kukamilisha online process.
Ukishamaliza online process na kupata namba ya malipo,unatakiwa uwe umelipa ile 20,000 ndani ya mwezi, alafu 130,000 iliyobaki utalipa ukienda kukabidhi makaratasi yako immigration
 
Back
Top Bottom