highness long
JF-Expert Member
- Sep 30, 2017
- 514
- 510
Unaedit vipi Mimi nimeview vyeti vyangu na nimegundua nimefanya kosa kubwa nimeupload document isiyohusika na iko kwene olevel certificate nawezaje kubadilisha hii kitu?Inawezekana,
Welcome 0756385789 for help... Dakika30doneAmani naiwe kwenu.
Nimejaribu kumjazia mdogo wangu maombi ya ajira TAMISEMI kwenye system yao ya OTEAS, lakini changamoto ninayoipata ni kwenye attachment.
Kila nikijaribu ku-upload attachment ina-load tu bila kumaliza. Niki-view application naona taarifa zote kasoro attachment tu.
Please naomba msaada wa yeyote ambaye ameshawahi kufanikiwa kufanya application na namna alivyofanikiwa hasa kwenye ku-upload attachment.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Anytime una appload bossUpload kwanzia saa 11 alfajiri...
Mda huu watumiaji wa internet wanakuwa wachache sana...
Ukishindwa nicheki Dm nikusaidie
Nichek kwa 0756385789Jaribu usiku sana. Mtandao unazidiwa ndugu
Nitakuchek mida hiviNichek kwa 0756385789
Unakiupload tenà inakifuta Kile cha mwanzo automaticUnaedit vipi Mimi nimeview vyeti vyangu na nimegundua nimefanya kosa kubwa nimeupload document isiyohusika na iko kwene olevel certificate nawezaje kubadilisha hii kitu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ni mwema,mungu awasaidie tuu ndugu zangu,shetani hua anatumia nguvu sana kuwaangusha watu wa mungu.amen
Wengi wanao ifagilia ccm sio wafanya kazi wala watu wenye kazi zinazo eleweka, wengi wao ni waajiriwa wasio rasmi (hawapo kwenye payroll) wa Lumumba. Wale wenye ofisi pale Lumumba na wapo kwenye payroll na wenyewe hawamkubali jamaa kiviiile. So hao kina laki si pesa and the team wala wasikusumbue, ni kula kulala tu
Aise, kumbe!?
Ni kwa walio-graduate mwaka 2014-2017Mbona kuna watu walikuwa wanasema oooh ajira hazikutangazwa watu wa 2016/2017 wametoa hongo wakapewa ajira,,, kwa wao hawakuaply,,,,, sasa kaz wanayoo
Hiki kipengele cha majina na jinsia hupatikana mwanzoni kabisa wakati WA kutengeneza akaunti sasa ukija kwenye kupreview utaona hizo taarifa tu kama zilivyo na hutoweza kurekebisha kabisa kama ilivyo Kwa taarifa nyingine.Samahan jamani naombani msaada hapa kwenye online teachers employment nimesahau kuchange gender ya female nikaserve sasa nataka ku edit kujaza gender ya female inagoma. Nifanyaje?