Mkuu uki attach document moja subiri hadi ikuletee taarifa kuwa tayari, huchukua dk 6 hadi 15. Mi Jana nimemjazia DOGO fresh kabisaAmani naiwe kwenu.
Nimejaribu kumjazia mdogo wangu maombi ya ajira TAMISEMI kwenye system yao ya OTEAS, lakini changamoto ninayoipata ni kwenye attachment, kila nikijaribu ku-upload attachment ina-load tu bila kumaliza. Niki-view application naona taarifa zote kasoro attachment tu.Please naomba msaada wa yeyote ambaye ameshawahi kufanikiwa kufanya application na namna alivyofanikiwa hasa kwenye ku-upload attachment.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Mkuu uki attach document moja subiri hadi ikuletee taarifa kuwa tayari, huchukua dk 6 hadi 15. Mi Jana nimemjazia DOGO fresh kabisa
Kuna mahali pameandikwa 'appply' ndio hapo unabonyezaMimi nimejaza kila kitu ila nimeshindwa kusubmit. Je ukishajaza taarifa zote unakuwa umemaliza? Hamna mahali pa kubonyeza SUBMIT?
Kuna mahali pameandikwa 'appply' ndio hapo unabonyeza
ndio hivyo lazima u propose mikoa unayotaka upangiweMbona ukibonyeza apply inakuja kitu kingine kabisa cha kuadd mikoa unayotaka kufanyia kazi.. See screenshot attached below
Yes kila kitu tayari nilishafanya hapo yaani application iko complete. Swali langu ni je kuna mahali pa kubonyeza submit ili application iende? au ukishamaliza kujaza sehemu zote unaachia hapo hapo kwenye system bila kusubmit?ndio hivyo lazima u propose mikoa unayotaka upangiwe
Kule mwisho Kuna sehemu uta click Kama I send copy kwenye email yako au VIP hapo utakuwa umemaliza. Unaweza uka view application report.Yes kila kitu tayari nilishafanya hapo yaani application iko complete. Swali langu ni je kuna mahali pa kubonyeza submit ili application iende? au ukishamaliza kujaza sehemu zote unaachia hapo hapo kwenye system bila kusubmit?
Zimetoka janaKule mwisho Kuna sehemu uta click Kama I send copy kwenye email yako au VIP hapo utakuwa umemaliza. Unaweza uka view application report.
Kwani zinatoka lini hizi.
Acha wasome nambaMbona kuna watu walikuwa wanasema oooh ajira hazikutangazwa watu wa 2016/2017 wametoa hongo wakapewa ajira,,, kwa wao hawakuaply,,,,, sasa kaz wanayoo
Sasa zimetoka vip wakati hata deadline Hakuna na walimu wengi Ni wa diploma.Zimetoka jana
Habari mkuu,ninashindwa jinsi ya kujanza council of residence,tunafanyaje hapa?? Ni kile kipengele cha kwanza kabisa cha taarifa binafsiKule mwisho Kuna sehemu uta click Kama I send copy kwenye email yako au VIP hapo utakuwa umemaliza. Unaweza uka view application report.
Kwani zinatoka lini hizi.
Hapo ndio tayari umesubmit, kuna option hapo ya kupreview your application kama unaona hiyo basi umeshamaliza applicationYes kila kitu tayari nilishafanya hapo yaani application iko complete. Swali langu ni je kuna mahali pa kubonyeza submit ili application iende? au ukishamaliza kujaza sehemu zote unaachia hapo hapo kwenye system bila kusubmit?
Maana yake wilaya unayokaa mkuu pamoja na anuani yako.Habari mkuu,ninashindwa jinsi ya kujanza council of residence,tunafanyaje hapa?? Ni kile kipengele cha kwanza kabisa cha taarifa binafsi