Asante sana FAizafoxZinaendeshwa kama benki nyingine lakini hakuna riba:
Islamic banking (Arabic: المصرفية الإسلامية‎, Persian: بانکداری اسلامی‎😉 is banking or banking activity that is consistent with the principles of sharia and its practical application through the development of Islamic economics. As such, a more correct term for 'Islamic banking' is 'Sharia compliant finance'.
Mikopo ni ubia , benki inakuwa mbia wako wa muda kwenye hilo deni, kama ni hasara wote kama ni faida wote, nnakushauri nenda amana benki kwa ufafanuzi zaidi na pitia hapa ujisomee zaidi: https://en.wikipedia.org/wiki/Islamic_banking
Pia uelewe Islamic Banking inakuwa popular sana duniani kwa Waislam na wasio Waislam, jisomee: Islamic "Shariah-Compliant" Banking Takes Root in Europe
[url]https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/60900-islamic-banking-%91invades%92-tanzania.html
[/URL]
mimi sio mwislam, Je, naweza kujiunga na islamic banking kama baadhi ya waislam walivyojiunga mkombozi?
Nami nasubiria, nasikia hakunaga riba huko
Bora nikakope nimalizie mjengo wangu
Elimu ndogo niliyonayo hapa ni kwamba Islamic Benk zinatoa mikopo kwa njia ya kibiashara. Mfano ukitaka kukopa hela ili ununue gari wao wanakununulia gari wanakupa na unalipa kidogodogo na halkadhalika ukitaka kununua vitu vyengine .
Mkuu wala si mzaha alichosema Totos Boss hata mimi naelewa hivyo na ndiyo Islamic Banking inavyofanya mikopo.Ingekuwa ni rahisi hivyo hata muulizaji asingeuliza !
Acha mzaha na taaluma za watu Totos Boss
mimi sio mwislam, Je, naweza kujiunga na islamic banking kama baadhi ya waislam walivyojiunga mkombozi?
Ingekuwa ni rahisi hivyo hata muulizaji asingeuliza !
Acha mzaha na taaluma za watu Totos Boss
Ingekuwa ni rahisi hivyo hata muulizaji asingeuliza !
Acha mzaha na taaluma za watu Totos Boss
Hawatoi mikopo ya fedha, kwa kuwa hakuna riba na hawataki uende ukawekeze kwenye haram. Kwa mfano, unataka gari wao ndio wanainunua kwa vigezo vyako, then wanakuuzia kwa faida etc.
kabla ya kujiunga lazima ujifunze kuwa na hasira,ugomvi, jaziba,chuki nk hapo utakuwa umewiva kweyikweyiUnaweza hakuna masharti ya kujiunga na benki zaidi ya yaliyowekwa na BOT. Wacha kujiunga na Islamic Banking unaweza kujiunga hata Uislam wenyewe mradi ukubali tu kuwa Mwenyeezi Mungu ni mmoja hajazaa wala kuzaliwa, Yesu ni mtume wake na Muhammad ni mtume wake. Karibu sana.