God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,786
- 3,067
Nataka kununua sub woofer za aborder ila sijawahi kuzifahamu popote, hivyo sina amani naombeni mnipe ujuzi kwa wale walozitumia, na bajeti ya laki 1.
Pia nataka mniambie sub woofer amayo nitaunganisha spika zaidi ya tano au kama zipo waya za kuwafanya hivyo nijuzeni wakuu maana mara nyingi huwa naona sub woofer za spika mbili.
Pia TV gani za kisasa na original sio hayo mamchina ambayo itaniwezesha kucheza game, mambo ya internet, wireless n.k na bajeti ya laki 7.