hiyo namba moja kweli ni roho ya paka ninakimoja cha toka 2010 na kinawaka muda wote bar na hakijawahi piga shoti wala kusumba kitu chochote1. Singsung
- (Hizi tv Ni roho ya paka miaka nenda miaka rudi), changamoto yake Ni single screen.
2. Tropical
- (skuhz zimeadimika Sana,ila msumari balaa, Bei zake Ni sawa na kina SONY, SAMSUNG N.K). Tunawauziaga sana watu wa serikali na ubalozi.
3. Homebase
- (Ni msumari balaa, Bei yake inakimbizana na kina Hisense, Lg n.k na hawauzii njaa.
4. Goodvision
(Brand ndogo, ila imara na picha quality Sana, baadae itakuja kua brand kubwa sn)
5. Boss
Nazo sio mbaya.
Hizi nyingine ulzotaja Ni za kawaida sana
TV za kichina ndio hizi flat ama??
Tv na Runinga ni vitu tofauti?!!Cjaelewa, kwamba unataka Tv au runinga au vyote kwa pamoja?!
Naomba kuuliza kwa mafundi na wajuzi, ni TV aina ipi za kichina ni nzuri au zina afadhali, kwa ubora, uimara, picha nzuri nk kushinda nyingine maana nasikia nyingine hazitimii hata zile inches za upana wa kioo.
Kuna MEWE, ALYONS, STAR ONE, STAR X, RISING, TCL, ALITOP, SOLAR MAX NK
Mkuu naona warranty ya miaka miwili Bado si hoja. Au muda wa kuishi tv ni miaka 2? Vipi ikifa wiki ya pili baada ya warranty kuisha?Chukua mewe ni brand kubwa sana west africa pia ina warranty ya miaka miwili hakuna kampuni yoyote inayotoa warranty miaka miwili ni mewe tu hii brand kwatanzania ndo ameingia ila huko naija, Togo,Cameron,ivory coast nk huko ndo inafanya vizuri sana kama HISENCE inavyofanya vizuri tz
Mkuu naona warranty ya miaka miwili Bado si hoja. Au muda wa kuishi tv ni miaka 2? Vipi ikifa wiki ya pili baada ya warranty kuisha?


Miaka miwili ni mingiMkuu naona warranty ya miaka miwili Bado si hoja. Au muda wa kuishi tv ni miaka 2? Vipi ikifa wiki ya pili baada ya warranty kuisha?
1. HisenseNaomba kuuliza kwa mafundi na wajuzi, ni TV aina ipi za kichina ni nzuri au zina afadhali, kwa ubora, uimara, picha nzuri nk kushinda nyingine maana nasikia nyingine hazitimii hata zile inches za upana wa kioo.
Kuna MEWE, ALYONS, STAR ONE, STAR X, RISING, TCL, ALITOP, SOLAR MAX NK
TCL utakuwa umetisha kinyama nyama, hizo zingine takataka tupa kuleNaomba kuuliza kwa mafundi na wajuzi, ni TV aina ipi za kichina ni nzuri au zina afadhali, kwa ubora, uimara, picha nzuri nk kushinda nyingine maana nasikia nyingine hazitimii hata zile inches za upana wa kioo.
Kuna MEWE, ALYONS, STAR ONE, STAR X, RISING, TCL, ALITOP, SOLAR MAX NK