Mzee wa muongozo🤣🤣Ngoja waje kukupa muongozo...
Ikitulia baada ya muda itapona yenyeweMinilizan kioo ndio ishu kumbe hata mashine,Mimi ninayo HISENCE inch 40 LED Tv imevuja kioo,nikaambiwa kioo 350k nikasema hapa sinaongeza 100k tu napata mpya ngoja niiuze kama crepa,asee fundi aliefika bei kubwa ni 35k. Wanasema "hapa tunachotoa nimashine tu nasasaiv mchina amerahisisha mashine zipo hadi 30k" .nikasema msinitanie nimeirudisha maskan itulie tu
Motherboard ndo TV yenyewe sasa... Bora aununue ingine tu..Nunua tv nyingine coz motherboard inaweza kucost ¾ ya gharama ya tv
Agiza motherboard ulaya utanishukuru ,dunia kijijiHellow wanajamvi inshort naomba niende oneway on the point ni kwamba Tv yangu Hisense imeungua nilipeleka kwa mafundi Tv pale Service Center kwa watu wa Hisense wapo pale Kariakoo wakanambia Kibao (Motherboard imeungua yote) hivyo labda ninunue Kibao kingine na wao kwa bahati m baya hawana hivyo nikamchukua Fundi pale tukakubaliana tukaingia Kariakoo kwa mafundi wengine kutafuta walau kwa wenye nazo hata used.
Tulizunguka almost a whole day madukani na kwa mafundi hatujapata, hivyo imekuja kkwenu waja mnisaidie ambaye anaweza kufanikisha jambo hili either kwa madukani au kwa mafundi.
Tv ni Smart.
Mimi napatikana Jijini Dar es Salaam hapa hapa Jiji la lawama.
Ahsanteni na karibuni
Mpe link ya kuplace order kama bei ni rafiki...Agiza motherboard ulaya utanishukuru ,dunia kijiji
Sorry si asearch akiambatanisha na model ya hio tv yake basiMpe link ya kuplace order kama bei ni rafiki...
Na yeye hajaweka hata model ya mashine yake..
Hahaa nandio manaake,kuna fundi amenambia nisiwe na haraka nayo huwa zinapatikana Tv kama yamdau hapo juu zilizoungua mashineIkitulia baada ya muda itapona yenyewe