Msaada TV yangu haiwaki

Msaada TV yangu haiwaki

Muda mwingine hua sio Taa , unakuta tu Kuna capacitor imeungua, Mimi natumia Hisense na tatizo Hilo limenitokea Mara 3 ndani ya miaka 5, hasa kipindi umeme unakatika na kurudi. Hapo ni kutafuta fundi mzuri tu
Nisaidie fundi mzuri maana tv hizi Ni majanga
 
Hamfikii kwenye Nini

Ubora wa picha
Uimara wa tv
Go for TCL kama una hela, achana na Hisense nmetumia mpaka imeniboa TVs zao ziko limited kwenye ku customize features afu zina tabia ya kufreeze, hii ViDAA yao ya kiwaki..
 
Back
Top Bottom