Mupirocin
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,763
- 819
Wakuu habari za sasa hivi, poleni na misiba ya maaskofu wetu.
Wadau nina TV aina HISENSE na natumia decoder ya Dstv. Sasa hii decoder nimeunganisha Tv mbili moja chumbani na nyingine sebuleni. Ya sebuleni ni Hisense na inachukua matangazo direct from decoder, wakati ya ndani inatumia indirect. Sasa TV ya chumbani haina shida ila hii ya sebuleni haitoi sauti kwa channel moja tu ya TBC ila channel nyingine zinatoa sauti vizuri tu, kasoro hii channel tu, nimejaribu kuset as factory setting lakini bado imegoma. Sasa sijui shida ni nini isije ikaanza kugoma na channel nyingine baadaye naomba msaada wadau sijui nifanyeje. Natanguliza shukrani