Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,041
- 35,243
Wakuu,
Nikiwasha TV nikaweka Chanel inaonyesha picha kama dk 1 tu au wakati mwingine sekunde kadhaa halafu screen inazima inabaki audio tu picha hazionekani.
Nimejaribu kusoma kijitabu cha maelezo ila sijafanikiwa, nikafanya factory reset bila mafanikio.
Naomba mwenye ujuzi anisaidie nitatue.
Asante.
............……………………………………………………………
Updates,
Wakuu,
Naona picha imerudi kama kawaida na sasa ipo vizuri haijakata tangu jana usiku.
Kuna kitu kimoja nilifanya baada ya kutafuta mtandaoni.
Nilienda settings upande wa picha halafu nikatafuta ECO settings(energy saving)
Hii ECO inahusika na kusave umeme kwahio ina option tatu Nazo ni low,high na Off.
Maana yake ikiwa on inaruhusu TV kubania(Ku save) umeme hivyo Kuna muda itakuwa inaondoa picha na kubakiza sauti tu ili kubana matumizi ya umeme.
Kwahio nilichofanya niliweka OFF hii function.
Lakini Kuna mdau pia alisema kitu kwenye post #19.labda nayo ilichangia.
Asanteni.