msaada:Tv samsung flat screen imezima ghafla

poposindege

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
453
175
Wadau wa jukwaa habari zenu
Tv yangu ya Samsung Flat screen imezima ghafla na sijajua tatizo nini.
Ukiiwasha inawaka taa ya power ile nyekundu kwa kubeep yaani inawaka na kuzima baadae inazima kabisa.Nimejaribu mara kadhaa lakini wapi.Naomba msaada ndugu zangu wa kitaalamu nini tatizo na nifanye je ili iweze kupona.
Ni SAMSUNG
MODEL:LA26A450C1
TYPE NO:LA26A450
Nasubiri ushauri wenu
 
kama una warrant nenda samsung pale town watakurekebishia fasta
inawezekana power supply yake imepata mushkel
 
kama una warrant nenda samsung pale town watakurekebishia fasta
inawezekana power supply yake imepata mushkel
asante sana mkuu kwa ushauri mzuri,lakini bahati mbaya haina warrant,kwa hiyo wapi naweza pata fundi wa kunirekebishia hilo tatizo?
 
unaweza kuiacha kwa muda ikiwa out of power(kama dk 30) then washa, kama tatizo bado tumia warrant uliyopewa.
 
nenda kwa fundi mbona jijini mafundi wengi tu kule kariakoo... au nenda samsung wakufanyie matengenezo zen uwalipe
 
asante sana mkuu kwa ushauri mzuri,lakini bahati mbaya haina warrant,kwa hiyo wapi naweza pata fundi wa kunirekebishia hilo tatizo?

Sijui kwa bongo, but hata kama huna warranty ni bora uwapelekee wenye kampuni wakutengenezee though you'll have to pay instead of giving it to the local technician. Mafundi wengi wezi watahamisha baadhi ya useful items ndani ya tv yako.
Just ushauri tu, hutaki unaacha.:wink2:
 
Here is the solution

Hi, huge thanks for the finding, I did it myself, my LN-S4041D is working as good as new.

This is how it looks from the back after cover has been removed (19 screws!
icon_wink.gif
)
Big light PCB is a power supply board, our caps are on its upper right corner.

47143785hk2.jpg


Here is a close up of those four capacitors, as you can see they are inflated, on top of two middle ones there is a dark spot of burnt electrolyte.
11486204ti3.jpg


This is an image from the side, all four of them bumped
35458495le4.jpg


I unsoldered them, here you can see their marks CM812, CM817, CM811 and CS806.
All four are rated 1000mF 10V, I didn't touch others that look good, they are rated for 25V.

84337658wf4.jpg


I'm in Canada, we have other store for electronic components: SAYAL, I found there 1000mF 35V for $1.35 CAD each, they are also made by Samsung
icon_lol.gif

By the way, original capacitors are designed for maximum working temperature of 105C, new ones however for 85C, I hope it won't come to that.

22115057hl3.jpg


35V capacitors are 25-30% bigger, do not cut the legs right away, first solder then cut, solder above PCB to give a little more freedom. Sorry for the background
icon_razz.gif

45885090rz2.jpg


This is how it looks after rework, as you can see, unlike original ones, they are touching each other.
75193438iz6.jpg


Here is a view from the angle, a small one on the right CM809 has been pushed by a bigger capacitor a little, so keep in mind to leave some extra length on legs to pull it away from it after soldering.
76512807bz5.jpg


Good luck and don't be afraid, it just needs a little patience (for better experience) a little fear (for caution) and a strong wish to save money (I hope it's worth it)
icon_lol.gif
.


source: undisclosed
 
Kama unahakika tv yako ni Original nenda kwenye center yoyote ya Samsung watakutengenzea,ila mjue kuna tv nyingi sana Flat screen ambazo ni Fake,muwe makini sana mnapoenda kununua tv.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom