Msaada TV flat sumsung LED series 4 haioneshi picha

Msaada TV flat sumsung LED series 4 haioneshi picha

cheppe

Senior Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
157
Reaction score
13
Kwa wale mafundi wenzangu hiyo tv ni 32" inawaka vizuri na lakini kwenye kioo hamna kitu ni mwanga mweupe ila sauti inatoa picha ndio hakuna naomba msaada wataalamu au mwenye kumjua fundi anipe namba zake nibadilishane nae mawazo
 

Attachments

  • 1415866565145.jpg
    1415866565145.jpg
    15.8 KB · Views: 135
  • 1415866627904.jpg
    1415866627904.jpg
    18.6 KB · Views: 133
Kama utaifungua ndani utaona kuna tweub nyembamba nyepe zinatoka kushoto kwenda kulia zipo nyingi baadhi utaona zimepasuka hilo ndo tatizo mkuu!nizakubadilisha
 
Kama utaifungua ndani utaona kuna tweub nyembamba nyepe zinatoka kushoto kwenda kulia zipo nyingi baadhi utaona zimepasuka hilo ndo tatizo mkuu!nizakubadilisha

Mkuu sijakuelewa ulivyosema tweub ni nini au ni ule mkanda unaokwenda kwenye screen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom